• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Hongereni Benki ya CRDB kwa ubunifu unaofanya mzidi kuwa taasisi bora: RAS Balandya

Posted on: January 17th, 2024

Hongereni Benki ya CRDB kwa ubunifu unaofanya mzidi kuwa taasisi bora: RAS Balandya


Katibu Tawala wa mkoa wa Mwanza, Balandya Elikana ameipongeza  Benki ya CRDB kwa ubunifu wake wa kibiashara unaofanya izidi kuwa taasisi bora na kuaminiwa na wateja wake.

Mtendaji huyo wa Mkoa amesema hayo leo Januari 17, 2024  kwenye tawi la Mwanza la Benki hiyo wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi zawadi za vifaa vya kielektroniki mshindi wa kampeni ya Tisha na Tembocard tukakiwashe Afcon, Marion Albert amebainisha kampeni kama hizo mbali ya kuwanufaisha wateja wake lakini inazidi kujiimarisha pia kichumi.

"Hadi sasa mna wateja milioni 4 nchi nzima, hii ni hatua ya kujivunia inayofanya mzidi kuwa taasisi yenye nguvu na hatua hii ni matunda ya jitihada zenu mbalimbali kama hizi tunazo shuhudia leo," Balandya

Meneja wa CRDB kanda ya ziwa,Lusingi Sita amesema kampeni hiyo imewapata pia washindi 8 waliopata tiketi ya kwenda kushuhudia kombe la Mataifa ya Afrika Afcon huku wanne wakiwa tayari wametangulia mechi za makundi na wengine watakwenda hatua ya robo fainali,"Meneja kanda ya Ziwa.

"Mshindi huyo aliyejinyakulia zawadi hizi zenye gharama ya Shs milioni 9 ameibuka kutokana na kufanya miamala mingi ndani ya Benki yetu na bado shindano hili linaendelea,"Lusingi Sita

"Naishukuru CRDB leo kujipatia zawadi hizi,Jokofu la kisasa,Luninga inchi 75 na radio ambazo zimenisogeza mbele kimaisha,nitaendelea kuwa mteja bora wa Benki hii,"Marion Albert mshindi kutoka Mwanza.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti