• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Kamati ya Mipango Miji ya Jiji la Mwanza yavunjwa

Posted on: March 10th, 2023


WAZIRI wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Dkt. Angeline Mabula amevunja kamati ya mipango mji ya jiji la Mwanza iliyokuwa mwenyekiti wa kamati ya Ardhi na mipango miji wa jiji la Mwanza Hamidu Said na mkurugenzi wa jiji la Mwanza Yahya Sekieti(katibu wa kamati).

Waziri Mabula ametoa maamuzi hayo magumu Jijini Mwanza wakati wa kikao kazi cha viongozi wanaosimamia sekta ya ardhi kwa ngazi zote kuanzia wilaya , mitaa, kata na mkoa.

"' Kamati zote za mipango miji na zile za uchumi, Serikali ni moja tumefanya mawasiliano na  tunaenda kuchukua maamuzi magumu kwa ushauri pamoja na Waziri wa Tamisemi kamati ya mipango miji ya Jiji la Mwanza inaenda kuvunjwa na hakuna mjumbe hata mmoja atayetakiwa kurudi tena kwenye kamati Ile .'' Amesisitiza Waziri Mabula

Amesema katika mkoa wa Mwanza kumekuwa na tatizo kubwa la kudhulumu ardhi kwa wazee na wajane, na kuongeza kuwa kumekuwa na tatizo la utoaji vibali vya ukarabati wa majengo umekuwa unakiukwa sana.

Amezitaka Halmshauri zote nchini  kutenga maeneo ya uwekezaji na kuyalinda  kwa ajili ya kupokea wawekezaji.

 ''Suala la utatuzi wa mgogoro wa ardhi sio suala la Wizara eti kusema kuna mawaziri nane, nitashangaa eneo Lina mamlaka alaf mtu anasubiria Waziri, Mkuu wa mkoa au Mkuu wa wilaya, shughulikieni migogoro ya ardhi katika maeneo yenu".Amesema Mhe.Mabula

Mkuu wa mkoa wa Mwanza Adam Malima amesema Kamati za ardhi zinashida sana na amemuomba Waziri Mabula kushugulika na wilaya ya Nyamagana kisha wilaya ya Ilemela.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti