• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

MAAFISA UNUNUZI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ILI KUBORESHA HUDUMA

Posted on: September 6th, 2024

MAAFISA UNUNUZI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ILI KUBORESHA HUDUMA


Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Ndugu Kusirie Swai amewataka Wakuu wa Vitengo na Ununuzi kwa Umma na Mipango kutumia vyema sheria za Ununuzi kwa umma, Ubia kwa sekta binafsi na umma na takwimu katika kuboresha huduma kwa jamii.

Ndugu Swai Ametoa wito huo leo Septemba 6, 2024 wakati akifungua mkutano wa kikanda kuhusu sheria ya ununuzi wa umma, ubia kati ya sekta ya umma na binafsi na matumizi ya twakwimu zinazowasilishwa na  Ofisi ya Taifa ya Takwimu kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.

Ndugu Swai amesema mipango ya Serikali  katika kuhudumia wananchi imewekewa sheria ili kuhakikisha wanaotekeleza majukumu hayo wanazifuata ili kuhakikisha kunakua na ufanisi na hatimaye kuleta matunda chanya kwa jamii hivyo ni wajibu wao kuzingatia weledi.

"Ndugu washiriki, mpo hapa ili kujifunza mapya na kukumbushwa taratibu zinazopaswa katika kazi zenu ili tukasaidie juhudi za Serikali katika kuboresha huduma kwa hiyo naomba mzingatie maelekezo mtakayopewa." Ndugu Swai.

Awali, Afisa Sheria Mkuu Idara ya sheria kutoka Wizara ya Fedha Ndugu Paul Kimweri amefafanua kuwa wizara hiyo imeandaa mafunzo hayo ili kutoa ufahamu kwa Maafisa Ununuzi na Mipango juu ya sheria ya ununuzi wa umma ya 2023, sheria ya ubia ya sekta ya umma na binafsi na matumizi sahihi ya Takwimu.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti