• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Maafisa Wakuu kutoka Chuo Cha Ukamanda na Unadhimu Duluti watembelea Mwanza

Posted on: October 12th, 2020

Usalama wa mipaka ,kulinda mali za raia na kufuata sheria ndiyo msingi wa kuleta maendeleo katika ukanda wa Ziwa.

Hayo yamebainishwa na  Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella alipokuwa wakiwaeleza Maafisa  Wakuu kutoka Chuo Cha Ukamanda na Unadhimu kilichopo eneo la Duluti, Wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha historia ya Mkoa wa Mwanza na shughuli mbalimbali za maendeleo zinazofanyika na kulifanya jiji hilo kukua kwa kasi na kuchangia asilimia 32.4 la pato la taifa.

Alisema wanafursa mbalimbali za kiuchumi huku wao wakiwa wamewekeza katika sekta ya Uvuvi, kilimo, biashara na viwanda pia usafirishaji wa samaki kwenda ulaya ni fursa kubwa inayochochea kukuza uchumi wa wakazi na taifa.

Brigadia Jenerali Sylvester Ghuliku Mkuu wa chuo cha Ukamanda na Unadhimu Duluti Arusha anasema wanatoa mafunzo kuanzia cheo cha Meja na kuendelea ili kuwajengea waweza kukabiliana na matatizo mbalimbali ya utendaji pia chuo hicho kinanachukua wanafunzi kutoka ndani na nje ya nchi .

Anasema katika awamu hii wanawanafunzi 65 amboa wamegawanyika katika makundi mawili ,moja likiwa Dar es salaam na lingine Mwanza lengo likiwa baada ya mafunzo ya darasani wanatoka nje kwenye maeneo ya wananchi kwa ajili ya kufanya utafiti na kuona vitu vinavyoendelea katika shughuli za uraiani.

" Timu yetu ilikuwa ya kufanya tafiti ya uongozi na maendeleo tumechagua Jiji la Mwanza baada ya kuona kuna miradi mingi ya kimkakati inayofanywa na serikali hivyo tulitaka kujifunza kuona na kujadili na viongozi watendaji kwenye hiyo miradi baada ya kufanya ziara tumekuja kushuhudia tukio la kuingizwa majini kwa Mv. Ukara ll kwani ni shughuli ya kimaendeleo kwa ajili wananchi wetu , utafiti wetu kuhusu uongozi na maendeleo kwa mkoa huu" anaeleza Ghuliku.

Washiriki 32 ndiyo waliowasili Mkoani hapa kwa Ziara ya mafunzo ambapo chuo hicho kinasimamiwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na wanachuo hao wanatoka Tanzania, Burundi, Kenya, Uganda na Zibambwe.

Aidha,Maofisa kwa pamoja wamepata fursa ya  kutembelea Songoro Marine na kujionea majaribio ya Kwanza kuingiza ziwani kivuko Cha MV. UKARA II  Hapa kazi Tu kilichotengenezwa na Kampani ya Songoro Marine kwa gharama ya Shilingi Bilioni 4.2 ikiwa ni Fedha za Serikali.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti