• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Mabalozi kutoka EU watembelea Miradi Mwanza

Posted on: January 24th, 2023


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Adam Malima amepokea ugeni wa  Waheshimiwa

Mabalozi wa Nchi za Umoja wa Ulaya waliowasili Mkoani humo kwa ajili ya  kutembelea miradi ya Maendeleo

inayofadhiliwa na EU iliyopo Mkoani humo.

Mara baada ya kuwapokea Mhe.Malima ameongoza Kikao kifupi( “Courtesy Call”) na kuwahakikishia Wahe.Mabalozi  kuwa Mwanza ni salama na kuna fursa nyingi za uwekezaji na hivyo wasisite kutumia muda wao kwa ajili ya kujifunza na kuifurahia Mwanza.

Akiwatambulisha  Wahe. Mabalozi Mhe.Malima amesema Wahe. Mabalozi  wanatoka Umoja wa Ulaya, Ubelgiji,Finland , Ufaransa , Ujerumani , Ireland, Italia , Spain, Poland na  Netherland.

Aidha, Mhe.Malima ameongeza kuwa wakiwa hapa Mwanza Wahe.Mabalozi watafanya Ziara ya  kutembelea  kwa kila Wilaya tarehe 24 hadi 26 Januari, 2023 wakianzia

Nyamagana ambapo wataanza na Miradi ya MWAUWASA (Mradi wa ujenzi wa chanzo cha maji Butimba na Mradi rahisi wa utunzaji wa majitaka, uliopo Kirumba, Ilemela), na Maboresho ya Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando,pamoja na Mradi wa ufugaji samaki kwenye vizimba ndani ya Ziwa Viktoria (Mpanju Fish Farm, iliyopo Nyegezi.

Wahe.Mabalozi watatembelea Mradi wa kuboresha michezo hususani viwanja vya michezo wa Sports

Charity, uliopo Sabasaba Ilemela. Pia kwa Wilaya yaSengerema watatembeleaMgodi Mkubwa wa dhahabu wa Nyazaga, Uliopo Kata ya Ngoma, Wilayani humo.

Kwa upande wa Misungwi, Mradi utakaotembelewa niwa wachimbaji wadogo wa dhahabu wa Kikundi cha Mlimani Mining, kilichopo Shilalo Wilayani humo.

Mhe. Mkuu wa Mkoa ameshukuru Umoja wa Ulaya maarufu kama EU na wadau wake wa Maendeleo kwa mchango Mkubwa wanaoutoa wa kufadhili wa miradi ya Maendeleo ya Mkoa wa Mwanza na Tanzania kwa ujumla.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti