• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Menejimenti wa watumishi Mwanza yawaaga watumishi wawili wanaohama

Posted on: July 10th, 2023

Menejimenti wa watumishi Mwanza yawaaga watumishi wawili wanaohama*


Leo Julai 10, 2023 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza imewaaga watumishi wake wawili ambao siku za hivi karibuni wamepata Uhamisho kwenda kuwatumikia wananchi kwenye taasisi zingine.

Watumishi walioagwa kwenye hafla fupi iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ni pamoja na Joachim Otaru aliyekuwa Katibu Tawala Msaidizi Mipango na Ufuatiliaji ambaye amehamia Wizara ya Mambo ya Nje na Abdul Mzee aliyekua Mkuu wa kitengo cha TEHAMA ambaye amehamia NSSF.

Akizungumza kwa niaba ya Katibu Tawala Mkoa, Katibu Tawala Msaidizi Utumishi na Rasilimali watu Daniel Machunda amewashukuru watumishi hao kwa kujitoa kwa dhati kwenye kazi na ametoa rai kwao kwenda kuendeleza uchapakazi na kuwa mabalozi wa kuisemea vizuri Mwanza huko waendako.

"Kwakweli maelekezo ya Viongozi wangu (RC na RAS) yamekua msaada mkubwa kwangu katika kufanikisha malengo ya Mkoa na vilevile nawashukuru sana Menejimenti na Watumishi wote wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa kushirikiana nami na nawaomba nanyi kuendelea kufanya kazi kwa ushirikiano mkubwa sana na Mwenyezi Mungu awabariki sana." amesema Joachim Otaru.

"Miaka minne niliyokaa hapa nimepata uzoefu mkubwa zaidi ya miaka tisa niliyokaa nilikokua siku za awali kwani hapa kuna ushirikiano mkubwa sana na kwakweli nawashukuru sana Viongozi wangu na watumishi wenzangu maana nilikua kama daraja la kufanikisha maendeleo yaliyokusudiwa kwa wananchi." amesema Abdul Mzee.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti