• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

MHE. MAJALIWA ATAKA SEKTA MTAMBUKA KUWEKA MSINGI MATHUBUTI KUIMARISHA LISHE NCHINI

Posted on: October 3rd, 2024

MHE. MAJALIWA ATAKA SEKTA MTAMBUKA KUWEKA MSINGI MATHUBUTI KUIMARISHA LISHE NCHINI


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (MB) amezitaka sekta mtambuka kushirikiana katika kutekeleza afua za lishe ili kuondoa tatizo la utapiamlo, udumavu na ukondefu nchini.

Mhe. Majaliwa amesema ni lazima wizara za kisekta kama za Elimu, TAMISEMI, Kilimo, Uvuvi, Maendeleo ya jamii na Afya kushirikiana na wadau katika kuweka mikakati na mipango itakayosaidia kutekeleza sera na msingi mathubuti wa lishe nchini.

Mhe. Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo Alhamisi Oktoba 04

., 2024 katika Mkutano Mkuu wa kumi wa wadau wa lishe uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Malaika beach resort Wilayani Ilemela Mkoani Mwanza.

Aidha, amesema Serikali inaendelea  kutokomeza aina zote za utapiamlo nchini ikiwemo kutekeleza mkakati wa kuimarisha lishe bora, kuajiri wataalamu wa lishe na kusaini mikataba na viongozi wa Mikoa na Wilaya ya kutekeleza afua za lishe.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amesema Mkoa huo unaendelea kutekeleza afua za lishe na mikakati yote ya kuweka jamii kwenye afya bora na kuwatoa wananchi kwenye utapiamlo, unyongefu na udumavu wa akili na mwili.

Aidha, ametumia wasaa huo kuwaalika wadau kwenye maadhimisho ya kilele cha mbio za mwenge wa uhuru Kitaifa kitakachofanyika   Oktoba 14, 2024 kwenye uwanja wa CCM Kirumba ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.

Kwa upande wake Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bw. Jimmy Yonazi amesema mkutano huo umeweka maazimio kadhaa yakiwemo ombi kwa Serikali kujumuisha masuala ya Lishe kwenye dira ya Taifa 2050, kuratibu na kuteleza masuala ya lishe kwa kipaumbele pamoja na kuimarisha sekta binafsi ili zishiriki kwenye masuala ya lishe.

Mkutano huo wa siku mbili umefanyika chini ya kaulimbiu isemayo; "Kuchagiza mchango wa wadau wa kisekta ili kudumisha matokeo bora ya hali ya lishe nchini Tanzania".

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti