• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Mhe.Majaliwa aahidi kujengwa Kituo Cha afya Kisiwa Cha Irugwa Ukerewe

Posted on: September 25th, 2020

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Waziri Mkuu,Mhe. Kassim Majaliwa amewaahidi Wananchi wa Kisiwa cha Irugwa kituo cha afya,boti,kivuko na kuboresha huduma za jamii ,shule za msingi na sekondari.

Alitoa ahadi hiyo leo  kwenye Mkutano wa kampeni akiwoambea kura mgombea Urais wa CCM. Mhe.Dkt. John Magufuli, uliofanyika katika Kijiji Cha  Nabweko kisiwani Irugwa,wilayani Ukerewe.

Akihutubia umati wa wananchi wa kisiwa hicho, Mhe.Majaliwa amesema hawana budi kuichagua Serikali ya CCM iendelee kuleta maendeleo, kutatua changamoto zao na kuwahudumia kwa dhati.

Alisema wote ni mashahidi kazi za maendeleo zilizofanywa na serikali kwa miaka mitano zinaakisi maisha ya Watanzania wote na ndiyo maana anamwombea kura Mhe.Rais Dkt. Magufuli, amejipanga kuwatumikia kwa kipindi cha miaka mitano mingine ili malengo yaweze kufikiwa.

“ Nchi hii inahataji kupata kiongozi mwenye dhamira ya wazi ya kutunza amani,hayo maendeleo mnayoyaona ni matokeo ya uadilifu wa ukusanyaji wa kodi  na kuisimamia ili itumike kupunguza matatizo ya wananchi,kazi iliyofanywa kwa uadilifu na Dkt. Magufuli,”alisema  Mhe. Majaliwa.

Alisema kuwa kisiwa cha Irungwa na wilaya ya Ukerewe ya changamoto ya huduma za afya, hivyo baada ya uchaguzi na Rais akishaapishwa atahakikisha kituo cha kwanza cha afya kujengwa Ukerewe ni Irungwa ili kuwasogezea huduma, kuwaondolea wananchi adha ya kuzifuata jijini Mwanza.

Mjumbe huyo wa Kamati Kuu alisema kwa ukubwa wa kata ya Irugwa kinahitajika kituo cha afya ili wagonjwa wenye matatizo ya kiafya wapate huduma karibu, nje ya hapo ni gharama na watu kupoteza maisha.  

“Nataka niwambie, tumejenga zahanati 1,498 vijijini na vituo cha afya 498 nchi nzima hapa Ukerewe vitatu (Muriti, Kagunguli kwa zaidi ya sh. bilioni 1,ili kuwapunguzia umbali na gharama za usafiri na kutumia mitumbwi kufuata huduma, Mkundi aje kuchukua fedha za vituo vya Ukerewe na cha kwanza kujengwa ni Irugwa.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti