• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

MICHEZO INA NAFASI KUBWA YA KUTANGAZA UTALII:RC MTANDA

Posted on: July 7th, 2024

MICHEZO INA NAFASI KUBWA YA KUTANGAZA UTALII :RC MTANDA


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Said Mtanda ameshiriki mbio za kuhamasisha Utalii mkoani humo maarufu kama Transec Lake Victoria Marathon na kusisitiza michezo ni njia muhimu ya  kutangaza na kukuza utalii ikiwemo na vyakula vya kitamaduni.

Akizungumza leo Julai 7,2024 kwenye uwanja wa Nyamagana mara baada ya kuhitimishwa Marathon hiyo ambayo naye ameshiriki,amebainisha Mwanza una vivutio vingi vya utalii hivyo juhudi inayotakiwa sasa ni Jamii kuvitangaza ili viweze kujulikana ndani na nje ya nchi

Aidha amewapongeza waandaaji wa mbio hizo kwa ubunifu huo unaohitaji kuigwa pia wakimbiaji wote wa walioshiriki kilomita tofauti  kama km 21,km10,km 5, na km 2 na washindi kupata nishani na zawadi ya pesa zilizotolewa.

"Sekta ya utalii inachangia pato la Taifa kwa asilimia 17 kwenye GDP ya nchi vivyo hivyo inatoa ajira kwa watanzania zaidi ya milioni 1.6 hivyo ni sekta muhimu kwa Taifa letu",Mkuu wa Mkoa.

Naye Mkuu wa Kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Mwanza Sunday Peter amewashukuru wakimbiaji kwa kuwa na nidhamu na kufuata maelekezo wakati wa mbio hizo na kuwezesha kikosi cha usalama barabarani kufanya kazi yao kwa wepesi .

Kwa upande wake Rais wa Chama cha Riadha Tanzania Silas Wambura amesema ametoa wito kwa wanamichezo kushiriki mbio mbalimbali zinazoandaliwa nchini ili kuwapata washiriki bora watakao iwakilisha Tanzania katika medani  kimataifa.

Mbio hizo zilikuwa na lengo la kuhamasisha utalii wa ndani kanda ya ziwa pamoja na kuchangia taulo za kike kwa wasichana.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti