• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

MIRADI YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MAJISAFI NA MAZINGIRA YAKABIDHIWA

Posted on: November 29th, 2024

MIRADI YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MAJISAFI NA MAZINGIRA YAKABIDHIWA


Katibu Tawala wa Wilaya Misungwi Bw. Josaphati Mshaghati amewataka Wananchi kutunza na kulinda miundombinu ya afya inayotekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na washirika mbalimbali ili iweze kudumu kwa muda mrefu na iwahudumie wakazi wa maeneo hayo Kwa muda mrefu.


Katibu Tawala huyo ameyasema hayo Novemba 28, 2024 wakati akizindua mradi wa Xylem Watermark chini ya Shirika losilo la Kiserikali la Americares katika Zahanati ya Sanjo iliyopo Kata ya Usagara Wilayani Misungwi, alipokuwa akimuwakilisha Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza.

Ameongeza kuwa katika jitihada  zinazofanywa na Serikali ya awamu ya sita ni kuhakikisha kuwa wananchi wanaboreshewa miundombinu Afya na kufungua milango kwa wafadhili mbalimbali.

"Tunawashukuru wafadhili wetu Kwa kazi kubwa lakini pia muangalie na maeneo mengine yenye changamoto mbalimbali za kiafya kwani uwepo wenu katika Mkoa wetu huu una tija kubwa kwa maendeleo ya Serikali na wananchi wake".

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Dkt. Jesca Lebba ameushukuru Uongozi wa Shirika la Americares kwa kuendelea kuisaidia sekta ya Afya hususani kwa vituo mbalimbali vya Afya.

Watumishi wa Afya tuzingatie ubora wa huduma, kama Mkoa tunaendelea kufanya jitihada ili tulete maombi ya vituo vingine,  kinachotakiwa sasa hivi ni ubora wa huduma, uwepo wa miundombinu kama ya Majisafi na salama katika vituo vya Afya kutasaidia kuboresha huduma kwa wananchi. Ameongeza Dkt. Leba

Shirika lisilo la Kiserikali la Americares limefadhili vituo mbalimbali ikiwa ni pamoja na Zahanati ya Lumala iliyopo Wilaya ya  Ilemela, Zahanati ya Sahwa iliyopo Wilaya ya  Nyamagana, Zahanati ya Sanjo iliyopo Wilaya ya Misungwi, Zahanati ya Kiliwi ipo katika Wilaya ya Kwimba, kituo Cha Afya Cha Sima kilichopo Wilaya ya Sengerema na kituo cha Afya cha Nyakalilo kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti