• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Mongella aweka historia Sizu tokea Uhuru

Posted on: February 11th, 2020



Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella ameanza ziara yake ya kikazi  ya siku nne Wilaya ya Ukerewe na kupokea taarifa ya afya katika zahanati ya Sizu iliyotolewa na Mganga Mkuu wa Wilaya Dtk.Raphael Mhana.
Dkt.Raphael amesema kuwa zahanati ya Sizu imejipanga kuhakikisha inapunguza vifo vya mama na mtoto kwa kuhamasisha kujifungulia kituo cha afya,pia kuwapa elimu ya kuhudhuria kliniki.

Aidha Tabibu Msaidizi Elizabeth John amesema kuwa wana changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na ufinyu wa jengo la kutolea huduma,kutokuwa na chanzo cha uhakika cha umeme na baadhi ya wakina mama kutokujifungulia kituoni na kutokuwa na usafiri wa uhakika  kwa ajili ya kusafirisha wagonjwa wa dharula.

"Zahanati ya Sizu ina watumishi wawili tu tofauti na mwaka jana ilikuwa na watumishi watatu,tunaendelea kuomba mamlaka husika ili kutuongezea watumishi, aliaema Elizabeth.

Akipokea taarifa hiyo Mkuu wa  Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella amehoji matumizi ya dawa kwani amekuta hakuna bini kadi na amerekodi wagonjwa 25.
 "Inakuwaje kati ya wagonjwa 300 unarekodi 25 pekee na dawa zinaonekana kutumika unafanyaje kuomba dawa nyingine pindi zinapoisha au unabuni kichwani tu,alihoji Mongella.

Mhe.Mongella akihutubia wananchi katika viwanja vya Shule ya Msingi Sizu  amesema kuwa kwenye maendeleo lazima tujitoe ili kuhakikisha kuwa kila mmoja anashiriki.
Hata hivyo Mhe.Mongella amechangia shilingi laki moja kwa ajili ya ujenzi wa choo cha shule ya Msingi Sizu na wataka kila mmoja kushiriki katika shughuli za maendeleo.

Mhe.Mongella amekemea unyanyasaji na uvuvi haramu na kuongeza kuwa visiwani kusiwe sehemu ya uovu,ualifu na uvunjifu wa Sheria na kuwataka kila mmoja kuwa mlizi wa rasilimali za kijiji.
"Wote tuungane katika kutumia rasilimali zetu ili vizazi vijavyo binufaike na rasilimali hizi,alisema mongella."
Naye Mwekekiti wa Halmashauri George Nyamaha amesema kuwa tokea Nchi hii ipate uhuru 1961 ni mara ya kwanza kwa Mhe.Mkiu wa Mkoa kutembelea kisiwa cha Sizu kata ya Kagunguli iliyopo Kijiji cha Sizu.Kisiwa cha Sizu kina wakazi 6406 kwa takwimu ya 2020 na ilianzishwa  mwaka 1971.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti