• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Mradi wa Sequip kutimiza ndoto ya Elimu kwa Wasichana waliokatiza masomo ya Sekondari

Posted on: June 7th, 2022


Mhe Mhandisi Robert Gabriel, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza amewaasa waratibu wa Mradi wa Sequip unaolenga kuwapa fursa Wasichana waliokatisha masomo ya Elimu ya Sekondari kwa sababu mbalimbali ikiwemo ujauzito kuzingatia maagizo ya mradi huo ili kuhakikisha malengo yanatimia.


Mkuu wa Mkoa amebainisha hayo leo Juni 14, 2022 alipokua akifungua Warsha ya Siku 4 ya  kuwajengea uwezo waratibu na wawezeshaji 75 wa Vituo vya Mradi wa Sequip chini ya Taasisi ya Elimu ya Watu wazima kutoka Mwanza, Geita, Mara, Kagera, Kigoma, Manyara Shinyanga, Simiyu na Tabora ya katika Ukumbi wa Butimba TTC.


"Nampongeza sana Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa jambo hili maana kundi la mabinti waliokosa Elimu kwa sababu mbalimbali limepitia kwenye msukosuko mkubwa hivyo kuwaona na kuamua kuwasaidia ni jambo kubwa na lenye baraka mbele ya Mungu." RC Gabriel.


Dktr. Belingtone Mariki, Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya watu Wazima amesema kuwa mradi huo pamoja na mambo mengine umelenga kuwawezesha wasichana elfu tatu walioacha Masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo Ujauzito na kwa mwaka huu wamesajiri wasichana 3333 na walimu 802 watahusika ambapo Mkoa wa Mwanza una Vituo 14 vyenye wanafunzi 241.


"Sisi kama Taasisi tunaishukuru sana serikali kwa kutoa fursa hii ya kuhakikisha ndoto ya kupata elimu kwa mtoto wa kike inatimia kwani kupitia mradi huu tunaamini malengo ya Kumuinua mwanamke kiuchumi pia utatimia." Prof Sotko Komba, Makamu Mwenyekiti Baraza la Usimamizi la Taasisi ya Elimu a Watu Wazima.


Mkufunzi Mkazi wa Mwanza kutoka Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Ritha Kakwira amemshukuru Mkuu wa Mkoa  na amemhakikishia ushirikiano na Ofisi yake wakati wote katika utekelezaji wa mradi huo.


_Mwisho_

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti