• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC Mongella atoa maelekezo mapokezi ya wanafunzi kidato cha sita,vyuo vya ualimu

Posted on: May 27th, 2020

Maofisa Elimu,Wakurugenzi,Wakuu wa Shule ,Wakuu wa Vyuo na maofisa mbalimbali wa mkoa wa mwanza waanza maandalizi kwa ajili ya mapokezi ya wanafunzi wa kidato cha sita na ualimu .

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mapokezi hayo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella amesema wakati huu ni wakuwa pamoja kuwasimamia watoto kwani Corona ipo lakini maisha lazima yaendelee .

Hivyo amewataka wakuu wa shule na vyuo kuhakikisha wanafunzi wanafanya mazoezi,maombi ili kuwajenga vijana kuwa   imara na wanaojitambua ,kwani vita ya kukabiliana na ugonjwa huo ni kubwa ambapo Mhe. Rais alisimamia uzalendo na ukweli wenye dhamira ya dhati kwa uhai wa mtanzania na mstakabali wa maisha ya kila mmoja.

Mhe Mongella ameeongeza kuwa ofisi ya mkoa imeamua kukabidhi vifaa vya kujikinga na kudhibiti maambukizo ya ugonjwa huo ambavyo ni sanitizer,barakoa na seti za kunawia mikono ambayo ni matenki ya lita 200,mabeseni na ndoo  kwa shule na vyuo vilivyopo mkoani humo.

Naye Afisa Elimu Mkoa wa Mwanza Martin Nkwabi  anasema mkoa huo una jumla ya shule 37 za "Alevel" ambapo shule 18 ni serikali huku 19 ni za binafsi ambazo kwa ujumla zina wanafunzi 4,844 wa kidato cha sita,kwa upande wa wanafunzi wa ualimu kwenye vyuo vya Butimba na Murutunguru  wana jumla ya wanafunzi 1,036.

Nicholaus Magige mkuu wa chuo cha ualimu butimba na Castory Mazula mkuu wa shule ya Sekondari Messa wanasema baada ya kupata maelekezo wamejipanga katika hatua za awali bila kuathiri matatizo ya kiafya ambapo wameondoa msongamano kwa kuwatawanya wanafunzi kukaa mbalimbali ata kwa wale wanaoishi bweni .

Pia upimwaji wa mara kwa mara utafanya kwa kila wanafunzi na watumishi hivyo jitihada za pamoja zinahitajika kutoka kwa walimu na wazazi ili kuweza kukabiliana na janga hilo.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti