• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

NDEGE ZISIZO NA RUBANI MBIONI KUANZA DORIA ZIWA VICTORIA -WIZARA

Posted on: December 2nd, 2024

NDEGE ZISIZO NA RUBANI MBIONI KUANZA DORIA ZIWA VICTORIA -WIZARA


Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika mkakati wake wa kuboresha sekta ya Uvuvi na kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji ipo mbioni kuanza doria ziwa Victoria kwa kutumia ndege zisizo na rubani lengo likiwa ni kuboresha sekta hiyo na kuchangia zaidi katika pato la Taifa.

Akizungumza leo Disemba 2, 2024 kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo katika mkutano wa kupokea maoni ya kuboresha kanuni za uvuvi na wadau wa sekta hiyo kwenye ukumbi wa mikutano wa Nyakahoja, Mkurugenzi wa uvuvi Prof. Mohamed Sheikh amebainisha Serikali imedhamiria kuimarisha uchumi wa bluu utakao kuwa na tija kwa mwananchi na Taifa kwa ujumla.

"Tunaanzia na ndege 5 na ziwa Victoria tutakuwa nazo mbili na hili zoezi litaanza mwaka ujao wa fedha,hatua hii itasaidia kutokomeza uvuvi haramu na kuwa na uhakika wa usalama wa viumbe maji,"amesisitiza mkurugenzi wa uvuvi wakati wa kufungua kikao kazi hicho cha kupokea maoni.

Ameongeza kuwa sekta ya uvuvi bado inachangia %1.8 katika pato la Taifa kiwango ambacho ni kidogo kulinganisha na ukubwa wa uchumi utakanao na sekta hiyo,hivyo mkakati uliopo sasa ni kuhakikisha maboresho yenye tija yanafanyika.

Prof.Sheikh amekwenda mbali zaidi kwa kubainisha maboresho hayo sasa yatakuwa na mvuto zaidi kwa wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi hasa baada ya kuwa na uhakika wa mazingira mazuri na wingi wa rasilimali zilizopo.

"Tumekuwa na utaratibu wa kuyafunga maziwa kwa muda hasa katika shughuli za uvuvi wa dagaa,tumeona namna zoezi hili lilivyokuwa na tija wanaporudi kuvua upatikanaji unakuwa wa kiwango kikubwa na soko linakuwa zuri",mkurugenzi wa uvuvi

Kwa upande wao wadau wa sekta ya uvuvi mkoani Mwanza wakiwemo wasindikaji wameishukuru Serikali kwa uboreshaji wa sekta hiyo na kuweka mazingira mazuri ya uvuaji wa kisasa zikiwemo boti zenye kuonesha dagaa au samaki walipo na ufugaji kwa kutumia vizimba.

"Ombi letu kwa Serikali tunaomba kupunguzwa kwa utitiri wa tozo ambao unapunguza vipato vyetu na kuiboresha mialo ambayo mingi haina mazingira rafiki hasa kwa wanawake wanaolazimika kuingia majini",Bi.Fatma Katula,msindikaji wa minofu ya samaki.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti