• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

NITASHIRIKIANA NA TAASISI ZOTE ZA KIDINI ILI KUWALETEA MAENDELEO WANANCHI:RC MTANDA

Posted on: April 7th, 2024

NITASHIRIKIANA NA TAASISI ZOTE ZA KIDINI ILI KUWALETEA MAENDELEO WANANCHI:RC MTANDA


Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhe.Said Mtanda leo Aprili 7,2024 kwenye Kanisa kuu la kiaskofu Epifania, Parokia ya Bugando ameshiriki ibada kwa lengo la kujitambulisha na kuwaahidi kushirikiana na Taasisi zote za kidini ili kuwaletea maendeleo wananchi.

Mkuu huyo wa mkoa ambaye amehamishiwa hivi karibuni kituo cha kazi Mwanza akitokea mkoani Mara,amesema Taasisi za kidini zina miradi mingi ya kuwahudumia wananchi hivyo wasisite kushirikiana na Ofisi yake ili kutimiza malengo yao.

"Namshukuru Baba Askofu Renatus Nkwande kwa kunipa ukaribisho huu,msiingie shaka na jina langu,Serikali haina dini na nipo hapa Mwanza kumsaidia Rais Samia kutimiza ndoto yake ya kuwaletea maendeleo wananchi,"mkuu wa mkoa.

Amewakumbusha waumini kuendelea kumuombea Rais Samia afya njema na kuwa na nguvu ya kuwatumikia wananchi wake na kuzingatia mafundisho kutoka kwa makasisi wao ya kuishi kwa amani na upendo ili tuendelee kuwa na Taifa lenye utulivu na amani kwa wananchi wake.

Akitoa neno la shukurani mara baada ya mkuu wa mkoa kuzungumza,Padri Pantaleo Rutambuka amemshukuru kiongozi huyo kujumuika nao na kumuhakikishia watashirikiana naye katika shughuli mbalimbali za kuwaletea maendeleo wananchi.

"Leo tumesali Dominica ya pili ya Pasaka ambayo ni huruma ya Mungu,tumekumbushana tuishi kwa kujaliana na tuepuka ubinafsi iwe mahali pa kazi au sehemu yoyote,na mafundisho haya tukiyazingatia yatakuwa pia msaada kwenu viongozi wa Serikali mnaoongoza kundi kubwa la watu",Padri Rutambuka.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti