• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RAS Balandya ahimiza vitendo vya ukatili kwa Watoto vitokomezwe Mwanza

Posted on: October 31st, 2022

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ndugu Balandya Elikana amewataka Wadau wa Dawati la ulinzi na Usalama kwa Mtoto kuhakikisha Elimu hiyo inaleta Matokeo chanya ndani ya Jamii kwa kuifanyia kazi kwa vitendo ili kutokomeza ukatili.

Hayo yamebainishwa na Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Utawala na Rasilimali watu Ndugu Daniel Machunda kwa niaba ya Katibu Tawala wakati akifungua mafunzo ambapo amesema wadau wa Maendeleo Plan International wamefanya uamuzi mwafaka wa kuwezesha mafunzo hayo kutokana na changamoto hiyo inayoikabili Jamii.

"Nawapongeza sana Plan International mmekuwa bega kwa bega na Serikali katika kumletea maendeleo mwananchi, sisi kama Serikali tunawaahidi kuendelea kushirikiana nanyi kwenye kila Sekta" amesema Machunda

Aidha, Kaimu Katibu Tawala huyo amesema Mkoa umekuwa ukitekeleza mpango kazi wa Taifa wa Mkakati wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto MTAKUWWA kwa kuelimisha Jamii kufahamu umuhimu wa kushiriki kwenye shughuli  za Maendeleo yakiwemo ya Jinsia, Wanawake na Watoto.

Mratibu wa mafunzo hayo Bi. Bernadetha Mazura amebainisha mafunzo hayo yanatolewa hasa baada ya kubaini rekodi isiyoridhisha ya vitendo vya ukatili kwa watoto inayochangiwa na Jamii kukosa elimu ya kutosha.

"Ndugu mgeni rasmi, tunashuhudia vitendo vingi vya ukatili kwa watoto yakiwemo mauaji na ubakaji hivyo tukiwekeza vya kutosha kwenye kutoa elimu kwa Jamii kutaleta  mabadiliko," amesisitiza Bi. Bernadetha.

Mafunzo hayo kuanzia ngazi ya Kata, Wilaya na Mkoa yamewashirikisha Maafisa Maendeleo ya Jamii, Maafisa Ustawi wa Jamii, Waratibu elimu pamoja na Dawati la Jinsia.


Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti