• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RAS BALANDYA AYATAKA MABARAZA YA WAZEE KUJENGA MAADILI

Posted on: June 15th, 2023

RAS BALANDYA AYATAKA MABARAZA YA WAZEE KUJENGA MAADILI


Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ndg.Balandya Elikana ameungana na Wazee wa Mkoa wa Mwanza katika Maadhimisho ya Siku ya Kupinga Ukatili kwa Wazee Duniani na kuwataka Mabaraza yao kuanzia ngazi ya kata hadi Wilaya yawe imara kujenga Maadili.

Akizungumza na Wazee hao leo kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa waliokutana kujadiiiana changamoto zinazowakabili,Balandya amesema bado wazee wana mchango mkubwa wa kuyajenga maadili hasa kutokana na hali ya utandawazi ambayo sehemu kubwa ya vijana wameathirika nayo.

"Ndugu zangu wazee Serikali inaendelea kutambua mchango wenu haya Mabaraza mliyonayo yaanze kuwamulika miongoni mwenu  ambao mtawaona wanakwenda kinyume na maadili na kuonesha mfano mbaya kwa jamii",amesisitiza Mtendaji huyo wa Mkoa

Amebainisha kuwepo kwa Mabaraza hayo na kuweka mikakati madhubuti  yatasaidia kukomesha matendo maovu ambayo bado yanameshamiri ndani ya jamii.

Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa,Silas Wambura amesema changamoto ya huduma ya afya kwa wazee itapatiwa jawabu na mpango ujao wa Bima ya afya kwa wote,hivyo kuwataka kuwa na subira wakati utaratibu ukiendelea kufanyika kabla ya kuwa sheria.

"Katibu Tawala wa Mkoa siku hii ya kupinga ukatili kwa wazee Duniani,tunalitumia jukwaa hili kujadiliana changamoto zetu na kukumbushana pia majukumu yetu kwa jamii kama walezi",David Manamba,M/kiti Baraza la ushauri la wazee Mwanza.

"Wazee wenzangu hebu sasa tubadilike na kuwa vinara wa kukemea mmomonyoko huu wa maadili,hali siyo nzuri kwenye jamii matendo mengi machafu yanaendelea kufanyika tushikamane kwa pamoja na Serikali yetu ili tuwe na jamii iliyostaarabika",Leonidas Mtawala,Katibu wa Baraza la wazee Misungwi.

Baraza la Umoja wa Mataifa lilipitisha kuwepo na Siku ya Kupinga Ukatili  kwa Wazee Duniani mwaka 2011.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti