• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RAS Mwanza aahidi kuzifanyia kazi changamoto Kituo cha Hija Nyantakubwa Sengerema

Posted on: June 12th, 2022

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ngusa Samike ameahidi kuharakisha huduma za msingi kuwepo kwenye Kituo cha Hija Nyantakubwa kilichopo Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza.


Katibu Tawala Ngusa amesema hayo mwishoni mwa wiki hii alipohudhuria Misa Takatifu ya Hija iliyofanyika eneo la Msalabani,amesema tayari eneo hilo limeshajengwa makazi ya Viongozi wa Dini kwa ajili ya kutoa huduma za kiroho hivyo atahakikisha mradi wa umeme unafikia eneo hilo.


"Nimesikia kuna changamoto ya upatikanaji wa mchanga mzuri wa ujenzi eneo hili, na eneo lenu mliopokuwa mnachimba kuna ujenzi wa Chuo cha Ardhi,naomba niseme tumelipokea na tutaenda kulifanyia kazi Mkoani." Katibu Tawala Mkoa.


Aidha katika salamu zake za Hija Katibu Tawala wa Mkoa Ngusa amewakumbusha Waumini kuyaishi  vyema matendo ya kumpendeza Mungu hasa wakati wa mfungo wa Kwaresima kujinyima kwa dhati na kuwajali wanaotaabika na maisha.

Askofu wa Jimbo la Geita Mhashamu Flavian Kasala amesema Hija hiyo ya siku mbili ni nafasi muhimu kwa Waumini kumrudia Mungu na kuishi kwa amani na kusameheana.


Katika Misa hiyo Takatifu  ilikwenda pamoja na zoezi la Harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo hicho cha Hija pamoja na nyumba ya Mapadre ,iliyoongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa Ngusa huku Waumini wakihamasika na kutoa matoleo mbalimbali zikiwemo fedha taslimu na ahadi.


Kituo hicho cha Hija kipo eneo la Msalabani  Parokia ya Nyantakubwa chini ya Jimbo la Geita kwa mujibu wa taratibu za Kanisa Katoliki.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti