• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC Makalla atembelea rasmi Ofisi ya CCM Mkoa na kujitambulisha

Posted on: May 30th, 2023

*RC Makalla atembelea rasmi Ofisi ya CCM Mkoa na kujitambulisha*


 *Aahidi kutanguliza maslahi mapana ya CCM na ushindi wa chaguzi zijazo*


*Ahimiza mshikamano baina ya Serikali na CCM*


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Amos Makalla ametembelea leo Ofisi za Chama cha Mapinduzi Mkoa kwa lengo la kujitambulisha na kuahidi kutoa ushirikiano wa kutosha baina ya Serikali na Chama.

Akizungumza na uongozi wa Chama hicho, Mkuu huyo wa Mkoa amebainisha mshikamano wa pamoja ndiyo utatimiza malengo yote kama Ilani ya Chama inavyotaka.

"Tangu nimeingia hapa kuanza rasmi kazi nimesema wazi bila kificho nitatanguliza maslahi mapana ya Chama cha Mapinduzi, nikitambua sisi viongozi  chimbuko letu ni CCM",Amesisitiza Mkuu huyo wa Mkoa.

Mhe.Makala amebainisha akiwa mjumbe wa Kamati ya siasa ya Mkoa atahakikisha chaguzi zote zilizopo mbeleni wanatoka na ushindi kuanzia ngazi zote.

Akizungumza kabla ya kumkaribisha Mkuu huyo wa Mkoa, Mwenyekiti wa CCM Mkoani Mwanza Mhe.Sixbeth Gichagu amesema wamefurahi kumpata Mkuu wa Mkoa ambaye anakijua kwa undani Chama hivyo uzoefu wake utakuwa chachu ya kufikia malengo ya Ilani ya uchaguzi.

"Binafsi Mhe.Mkuu wa Mkoa amenilea ndani ya Chama na amekuwa akinipa ari na maelekezo mbalimbali hadi nimefikia hatua hii ya nafasi ya Mwenyekiti". M/kiti CCM Mkoa.

Mhe.Amos Makalla ameshika nafasi mbambali ndani ya CCM ikiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana na Mhazini wa CCM Taifa na  hoja yake kukubaliwa kwa baadhi ya Mikoa yenye misuli ya kiuchumi kama Mwanza, Dar-es-Salaam na Arusha kujitegemea katika kujiendesha badala ya kutegemea ruzuku ya Chama.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti