• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC MTANDA AAGIZA MAAFISA POLISI WANAOKIUKA SHERIA KUCHUKULIWA HATUA

Posted on: July 6th, 2024

RC MTANDA AAGIZA

 MAAFISA POLISI WANAOKIUKA SHERIA KUCHUKULIWA HATUA.


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Said Mtanda amewataka maafisa Polisi mkoani humo wanaotenda kazi kinyume na utaratibu wa sheria za nchi zilizoainishwa kuchukuliwa hatua mara moja ili kukomesha uchafuzi wa taswira ya jeshi la Polisi.

Ameyasema hayo leo Julai 6,2024 alipohudhuria hafla fupi ya utoaji wa sifa na zawadi kwa wakaguzi na askari  tisa waliofanya vizuri kwa kipindi cha mwaka 2023/2024 iliyofanyika katika uwanja wa Polisi FFU Mabatini.

“Askari wote mliopo hapa muendelee kuimarisha nidhamu na wale wachache ambao wanaoonyesha nidhamu ambayo siyp sahihi kwa jeshi la polisi wachukuliwe hatua kwakuwa wanachafua taswira ya Jeshi la Polisi.” Mtanda

 Mtanda ameongeza kwa kusema askari Polisi na watumishi wote wa mkoa wa Mwanza kuzingatia weledi katika kazi na kuepuka na kuacha kujihusisha na vitendo vya kupokea rushwa.

Naye Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza  Wilbroad Mtafungwa amesema anawashkuru sana wananchi kwa kutoa msaada mkubwa kupitia mkakati wa Jeshi la Polisi wa kuishirikisha jamii katika kuzuia uhalifu kushirikiana na Polisi kuweza kuyafichua maovu yanayofanywa na waharifu.

“Hali ya ulinzi na usalama mkoani Mwanza ni shwari hakuna matukio makubwa yanayohatarisha usalama wa wananchi na mali zao jeshi la polisi kushirikiana na wananchi wanafanya msako kuzuia uharifu Mwanza”. Mtafungwa

Baadhi Wananchi wamejitokeza kushuhudia hafla hiyo fupi na kuweza kupewa nafasi mbalimbali kama kusoma shairi la kupongeza ufanisi na utendaji bora wa Jeshi la Polisi 

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti