• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC MTANDA AAHIDI USHIRIKIANO NA MAKANISA NA KUHIMIZA AMANI

Posted on: April 6th, 2024

RC MTANDA AAHIDI USHIRIKIANO NA MAKANISA NA KUHIMIZA AMANI


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda leo Aprili 6, 2024 kwenye ukumbi wa Mwanza Hotel ameshiriki kongamano maalum la familia na malezi kutoka Kanisa la Waadiventista wa sabato na kuahidi ushirikiano kwa makanisa yote na kuhimiza amani na upendo miongoni mwa watanzania.

Mkuu huyo wa mkoa akizungumza na washiriki wa kongamano hilo amewapongeza kwa hatua hiyo ambayo itachangia kujenga jamii iliyostaarabika kwa kutenda daima yaliyo mema.

"Baba Askofu Beatus Mlozi nakupongeza sana, hiki mnachokifanya mnaturahisishia sisi viongozi tunaoongoza kundi kubwa la watu katika kushirikiana kazi za ujenzi wa Taifa," amesema mkuu huyu wa mkoa.

Amebainisha siku zote familia ikiwa imara na Jamii pia itakuwa bora na hatimaye mnakuwa na Taifa lenye watu waliostaarabika.

"Niwashikuru kwa heshima hii mlionipa nawaanidi nitakuwa nanyi bega kwa bega katika shughuli za maendeleo ya Kanisa na ujenzi w Taifa kwa ujumla,tuendelee kumcha Mungu na kuepukana na aina yoyote ya migogoro,"RC Mtanda.

Askofu wa Jimbo la South Nyanza Mhe. Beatus Mlozi amesema kongamano hilo limelenga kuwapa mafundisho waumini wake hasa kutokana na kasi ya mmomonyoko wa maadili uliopo hivi sasa kwa jamii pamoja na vitendo vya ukatili wa kijinsia.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti