RC MTANDA AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI KUTOKA JUMUIYA YA ULAYA
RC MTANDA AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI KUTOKA JUMUIYA YA ULAYA
Leo Aprili 09, 2025 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ofisini kwake amekutana na kufanya kikao kifupi na Uongozi kutoka Umoja wa Ulaya ambao watafanya ziara ya kikazi kukagua miradi ya Maji ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA).