• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC MTANDA AKARIBISHA FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA MICHEZO

Posted on: September 6th, 2024

RC MTANDA AKARIBISHA FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA MICHEZO


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh.Said Mtanda leo Septemba 6,2024 amekutana na wataalamu wa michezo kutoka nchini Brazil na katika mazungumzo nao amewaalika kuwekeza katika michezo hasa kutokana na Mkoa huo kuwa na hazina ya vipaji.

Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Ofisi kwake na wataalamu hao wa soka,Mtanda amebainisha licha ya kuwa na vijana wenye vipaji lakini tunakwama namna ya kuviendeleza hivyo bado tunahitaji nchi kama Brazil iliyopiga hatua kubwa katika sekta hiyo.

Mkuu huyo wa Mkoa ambaye ni mkereketwa wa mchezo wa soka amewaambia wataalamu hao kuwa watanzania wana imani kubwa na Taifa la Brazil katika mchezo wa soka hasa kutokana na hatua kubwa waliyopiga na vipaji walivyonavyo

Ameongeza kuwa  michezo kwa sasa ulimwenguni ndiyo nguzo imara ya ajira, lakini kabla ya mchezaji huyo kupata soko ni lazima apitie misingi muhimu ambayo hapa kwetu bado wanaikosa.

"Ili mchezaji uwe wa Kimataifa ni lazima uwe na nidhamu,upitie timu za Taifa za vijana,na misingi mingine madhubuti kutoka shule maalum za michezo," amefafanua Mtanda wakati akitoa taarifa fupi kwa vyombo vya habari mara baada ya mazungumzo na wageni wake.

Kiongozi wa msafara huo ambaye pia amemwakilisha  Balozi wa Tanzania nchini Brazil,Beatus Kalumuna amesema lengo la ziara hiyo kwanza ni kuimarisha uhusiano wa Diplomasia ya michezo baina ya Tanzania na Brazil na kubadilishana uzoefu wa kitaalamu pia kupitia sekta hiyo.

"Hapa wamekuja wataalamu tofauti wakiwemo wa kuibua vipaji,wa kuviendeleza,mwakilishi kutoka Cruzelo shule ya soka ya mchezaji Ronaldo Nazari de Lima na mtaalamu wa michezo ya Olympiki,"Kalumuna

Wakiwa mkoani Mwanza watashuhudia baadhi ya michezo ya soka chini ya miaka 21 pamoja na fainali ya Ndondo Cup na kutoa ushauri wa kitaalamu.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti