• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC MTANDA AKATIZA ZIARA YAKE BAADA YA KUKUTANA NA WANANCHI WAKIWA WANAOMBOLEZA

Posted on: September 2nd, 2024

RC MTANDA AKATIZA ZIARA YAKE BAADA YA KUKUTANA NA WANANCHI WAKIWA WANAOMBOLEZA


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda leo Septemba 02 2024 akiwa ziarani kuelekea Katika Kituo cha Afya cha Lukobe kubaini chanzo cha moto kilichoteketeza Kituo hicho kilichopo Kata ya Kazunzu Wilayani Sengerema amekatisha ziara yake mara baada ya kukutana na umati mkubwa wa wananchi wa kijiji cha Ilenza wakiwa wanaomboleza na kuamua kujiunga nao.

Mhe. Mtanda akizungumza na wananchi hao waliojitokeza kwa wingi katika mazishi ya mwananchi mwenzao amesema, wakati anapita barabarani ameshangazwa kuona idadi ya watu wengi wakiwa wamekusanyika na kuamua kusimama kujionea nini kinaendelea.


Aidha RC Mtanda amesema amefurahishwa kuona mashabiki wa timu ya Simba na Yanga wakiwa wamekusanyika pamoja huku wakiwa na jezi zao katika msiba huo jambo ambalo limemshangaza sana.

"Nimefurahishwa sana na utamaduni mzuri wa mashabiki wa timu hizi zenye utani wa jadi kuja kumpa kampani mwenzenu wa timu ya yanga aliyepata msiba, Ninawapongenzi".

Lakini hii pia inaashiria kwamba kumbe michezo ni utani wa jadi ambao wakati wa furaha tunakua wote na wakati wa huzuni tunakuwa wote. Ameongeza Mhe. Mtanda.

Sambamba na hayo RC Mtanda amesema kwa kuwa ameona hapo Kijijini Ilenze kuna mashabiki wa michezo wengi, ameahidi kuleta wataalamu kutoka Mkoani kuja kufungua tawi la timu ya Pamba Jiji ambayo ndio timu ya Mkoa wa Mwanza.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti