RC MTANDA AMPOKEA OFISINI KWAKE KAMISHNA SHILOGILE
RC MTANDA AMPOKEA OFISINI KWAKE KAMISHNA SHILOGILE
Kamishna wa Polisi Jamii, CP Faustine Shilogile mapema leo Julai 01, 2024 amewasili katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa Mhe. Said Mtanda na kisha kusaini ktabu cha wageni. Kamishina Shigogile yuko Mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi.

Kamishna Shilogile pia ameambatana na Naibu Kamishna wa Polisi DCP Frezer Kashai, Naibu Kamishna Stella Mutahibirwa na Kamishna Msaidizi wa Polisi, ACP Faidha Suleiman.


