• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC MTANDA AMTAKA MKANDARASI BARABARA YA FORTES KUKAMILISHA UJENZI MARA MOJA

Posted on: July 17th, 2024

RC MTANDA AMTAKA MKANDARASI BARABARA YA FORTES KUKAMILISHA UJENZI MARA MOJA


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amemtaka Mkandarasi anayejenga barabara ya Fortes iliyopo kwenye mtaa wa kaskazini B Isamilo kwa kiwango cha zege kwa Tshs. Milioni 87.3 fedha kutoka Tozo za Mafuta (Usimamizi wa TARURA) kukamilisha ujenzi haraka ili kurahisisha usafiri kwa wananchi waishio milimani.

Mhe. Mtanda ametoa agizo hilo kwa Mkandarasi M/s Polas Group companies limited leo   Julai 17, 2024 akiwa kwenye ziara ya ukaguzi wa barabara hiyo iliyopo kwenye mtaa wa kaskazini B kata ya Isamilo iliyokamilika kwa asilimia 90 huku ikitarajiwa kukamilika tarehe 20 Oktoba 2024 kwa mujibu wa mkataba.

Sambamba na hilo, Mhe. Mtanda amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kutenga fedha haraka kwa mwaka 2024/25 ili kushirikiana na TARURA kukamilisha ujenzi wa kipande kilichobaki kitakachotokezea mtaa wa Pepsi ili kuongeza kasi ya ukuaji wa Jiji hilo.

Naye Meneja Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) wilaya ya Nyamagana Mhandisi Danstan Kishaka amebainisha kuwa mradi huo ulioanza  Aprili mwaka huu utasaidia pia kuvutia biashara na uwekezaji na kwamba kazi zilizotekelezwa ni pamoja na ujenzi wa barabara, mitaro mita 34 pamoja na ujenzi wa ukuta wa mawe (Stony Masonry)Mita 120.

Vilevile, Mhe. Mkuu wa Mkoa amewaelekeza TARURA kuweka matoleo ya Barabara inayounganisha mtaa huo kwenda mji mwema ili kulinda eneo hilo lisivamiwe na kusababisha mgogoro wa ardhi kwani kwa sasa hakuna alama ya kwamba panatakiwa kuunganishwa barabara hiyo kama ambavyo inakusudiwa.

Kwa upande wake, Diwani wa Kata ya Isamilo, Mhe. Charles Nyamasilili ametumia wasaa huo kuwashukuru TARURA kwa kuwaondolea  changamoto ya barabara wananchi wanaoishi kwenye miinuko na amempongeza Mhe. Rais Dkt. Samia kwa kuelekeza fedha kwenye miradi.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti