• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC MTANDA AMTAKA MKURUGENZI WA JIJI MWANZA KUSONGA MBELE KAMPENI YA UKUSANYAJI MAPATO

Posted on: June 26th, 2024

RC MTANDA AMTAKA MKURUGENZI WA JIJI MWANZA KUSONGA MBELE KAMPENI YA UKUSANYAJI MAPATO


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza Wakili Kiomoni Kibamba kuendelea kukaza msimamo katika ukusanyaji wa mapato na usimamizi thabiti wa vyanzo vya mapato vya Jiji hilo.

Mhe. Mtanda ametoa tamko hilo alipokuwa akitoa salamu katika kikao cha Baraza maalumu  la Madiwani kilichojadili taarifa ya CAG ya mwaka wa fedha 2022/2023 kwenye ukumbi wa halmashauri hiyo leo Juni 26, 2024.

Mkuu huyo wa Mkoa amesema Serikali haiwezi kukubali kuona vyanzo vyake vya mapato vinachezewa na baadhi ya watu,  Mtanda amesema hayupo tayari kuona halmashauri hiyo ikipoteza vyanzo vyake na amemtaka Mkurugenzi kuendelea kusimamia vyema msimamo wake wa ukusanyaji wa mapato kwa maendeleo ya wananchi.

"Kama alivyosema Mkurugenzi kuna watu mnadaiwa na Jiji na wengine mpo humu,  hakikisha unasimamia maslahi ya umma na ikiwezekana na huo mkeka wa watu waliokabidhiwa hati za viwanja bila kulipa niletee na mimi nianze nao".Mkuu wa Mkoa

Mhe. Mtanda ameendelea kwa kusema vyanzo vya mapato visiposimamiwa vizuri inaweza kuleta athari kubwa katika uendeshaji wa halmashauri kwani ni mapato kama sivyo basi halmashauri hiyo lazima ife.

Sambamba na hayo pia Mkuu huyo wa Mkoa amelipongeza Baraza la madiwani kwa kuendelea kupata hati safi kwa mwaka wa tano mfufulizo kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesbu za Serikali (CAG) na kuwataka kuendelea kufanya kazi kwa bidii na kuhakikisha hoja zote zilizobaki ambazo hazijajibiwa zinajibiwa kwa wakati.

Aidha Mkuu huyo wa Mkoa ametoa muda wa siku mbili yaani mpka kufikia tarehe 28 mwezi wa sita Halmashauri iwasilishe mpango kazi wa utekelezaji wa hoja zilizobaki kwa Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa na namna zitakavyotekelezwa na kuziondoa kabisa.

Akifunga kikao hicho Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Mhe.  Constantine Sima amemuhakikishia Mkuu huyo wa Mkoa kuwa maagizo yote ikiwemo ya usimamizi wa vyanzo vya mapato yeye na wahe. Madiwani watakwenda kuyasimia kwani na wao ni ajenda yao pia.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti