RC MTANDA ATIA SAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO MSIBA WA AGA KHAN IV
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Mtukufu Aga Khan IV aliyekuwa Imamu wa 49 wa Waislamu wa Ismailia na mwanzilishi wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN), katika Msikiti wa Mwanza Ismaili Jamatkhana uliopo jijini Mwanza, leo Jumatatu Februari 10, 2025.


