• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC MTANDA ATOA MIEZI 2 KWA MANISPAA ILEMELA KUTENGENEZA MAGARI YASIYOTEMBEA

Posted on: June 17th, 2025

RC MTANDA ATOA MIEZI 2 KWA MANISPAA ILEMELA KUTENGENEZA MAGARI YASIYOTEMBEA


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ametoa siku 14 kwa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela kuandaa taarifa sahihi, mpango kazi pamoja na gharama ya matengenezo ya magari kumi yanayosemekana kutokufanya kazi na kisha watumie muda wa siku 60 kutengeneza magari hayo.

Mhe . Mtanda ametoa tamko hilo leo juni 17, 2025 wakati akizungumza katika Baraza la Madiwani kuhusu hoja za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela ambapo amesema ni msimamo wake kila mahali anapofanya kazi huakikisha magari yote ya serikali yanafanya kazi.

“Ninataka magari yote ambayo yamelala yatengenezwe na ninakumbuka niliwahi kuja hapa kufanya oparesheni ya ukaguzi wa magari, sasa nitasiamamia tena”.

Aidha, Mkuu wa Mkoa ameitaka Halmashauri hiyo kuendelea kutekeleza kikamilifu maoni ya kamati ya Bunge, na kuendelea kujibu hoja za CAG ili ziendelee kupungua.

“Nitoe rai kuendelea kushirikiana na Ofisi ya CAG ili kupata ushauri wa namna ya kumaliza au kupunguza hoja”.


Akiwasilisha Taarifa, Mwekahazina wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Bi. Mariam Mshana amesema Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela ilikuwa na Jumla ya Hoja 58, Kati ya hizo hoja za miaka ya nyuma zilikuwa 16 na hoja za mwaka wa fedha 2023/2024 zilikuwa 42, Hoja zilizofungwa baada ya uhakiki ni 42 hivyo hoja zilizobaki hadi sasa ni 16 na wanendelea na mchakato wa kuzifuta.

Akihitimisha kabla ya Mwenyekiti kufunga Mkutano, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ameipongeza Manispaa ya Ilemela kufuatia kupata mtiririko wa Hati Safi za Ukaguzi za CAG kwa kipindi cha miaka sita (6) mfululizo kuanzia mwaka wa fedha 2018/2019 hadi 2023/2024

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti