• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC MTANDA AWATAKA VIJANA KUTUMIA SIMU JANJA KUJILETEA MABADILIKO YA KIUCHUMI

Posted on: November 29th, 2024

RC MTANDA AWATAKA VIJANA KUTUMIA SIMU JANJA KUJILETEA MABADILIKO YA KIUCHUMI


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewataka Vijana wa Mkoa wa Mwanza kutumia simu janja kwa matumizi sahihi ili waweze kujiletee manufaa katika kujikwamua na umaskini na kuacha kutumia muda mwingi katika mitandao kwa kutukana watu na kuwachafua.

Mhe. Mtanda ametoa wito huo leo Novemba 29, 2024 wakati alipokuwa akizindua dukala simu la Zahor Matelephone lililopo Mtaa wa Lumumba Jijini Mwanza,  Mhe. Mtanda amesema simu janja zinaweza kutumiwa vizuri na kuondoa umaskini kupitia biashara mtandao.

"Wako wananchi wa Vijijini wanaweza kuangalia bei za mazao kwenye minada kupitia simu za Zahor Matelephone ambazo zinauzwa elfu 70, lakini wavuvi wanaweza kuangalia hali ya hewa kupitia smartphone ndipo wakaingia ziwani".

Sasa kushinda kwenye mtandao asubuhi hadi jioni, unaangalia habari ambazo hazina tija ni kupoteza muda na duniani hakuna kitu cha thamani kama muda, wakati ni ukuta, tukiutumia vibaya tunajiondoa katika ule mzunguko wa kujitoa katika hatua moja kwenda nyingine ya kimaisha. Ameongeza Mhe. Mtanda.

Aidha Mkuu huyo wa Mkoa amesema Serikali itaendelea kumaliza changamoto hatua hatua  ambapo kwa siku kadhaa zijazo soko la kimkakati la Mjini Kati litafunguliwa rasmi ambapo wafanyabiashara wadogo wadogo na wa kati watapatiwa sehemu ya kujipatia riziki.

Sambamba na hayo Mhe. Mtanda amewashukuru wananchi wa Mkoa wa Mwanza waliopata nafasi ya kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa amani, na amewataka wananchi kuendelea kuchapa kazi ili waweze kujipatia riziki kwa kuwa uchaguzi sasa umekwisha.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti