• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC MTANDA KULIVALIA NJUGA KERO YA VIJANA WAHALIFU WA MITAANI WATAKAPO THIBITIKA

Posted on: June 11th, 2024

RC MTANDA KULIVALIA NJUGA KERO YA VIJANA WAHALIFU WA MITAANI WATAKAPO THIBITIKA


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amesema atajiridhisha kupitia Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza kuhusu uwepo wa Vijana wa mtaani wanaojihusisha na masuala ya uhalifu na endapo itathibitika kuwa  ni kweli ataendesha operesheni ya kuwakamata Vijana hao na ameahidi kuwapeleka katika nyumba za kutibu watu walioathirika na matumizi ya dawa za kulevya (Sobber House).

Hayo ameyasema leo Juni 11,  2024 alipokuwa mubashara katika kipindi maalumu kupitia runinga ya Mahaasin TV, wakati akijibu swali aliloulizwa kuhusu kuzuka kwa wimbi la Vijana wanaojihusha na uhalifu hasa katika maeneo ya mjini.


Mhe. Mtanda amesema hawezi kulitoleaa ufafanuzi kwa sababu bado hajapata taarifa hizo na kwa kuwa ndio mara ya kwanza kusikia basi anahitaji kujiridhisha kupitia vyombo vya kisheria.

Akiendelea kutoa ufafanuzi Mhe. Mtanda amesema ana uzoefu mkubwa katika kushughulika na masuala hayo ya kiuhalifu na kwa uzoefu wake amesema kuwa vijana wengi wanaofanya  uhalifu wanakuwa ni waraibu wa matumizi ya dawa za kulevya.

"Kwa uzoefu wangu vijana wengi wamekuwa wahalifu kutokana na  uraibu wa madawa ya kulevya hivyo endapo nitawakamata basi  hakuna haja ya kuwapeleka polisi maana bongo zao tayari zimekwisha kuathirika na dawa hivyo sobber House ndio mahali sahihi kwao".Mkuu wa Mkoa.

Aidha RC Mtanda ambaye anafanya ziara kwenye vyombo vya habari Mwanza, amesema suala hilo atalifuatilia kwa ukaribu na atatoa majibu mara tu atapojiridhisha kutoka kwa Kamada wa Polisi Mkoa wa Mwanza.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti