• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

RC Mwanza akemea vitendo vya hujuma Daraja la JPM

Posted on: July 4th, 2022


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mhandisi Robert Gabriel amemtaka Mkandarasi CCECC kuongeza spidi ya Ujenzi wa Daraja la JPM lenye urefu wa KM 3.2 na wafanyakazi kuwa wazalendo katika kuhakikisha vifaa vya ujenzi kwenye mradi huo havihujumiwi.

Ametoa wito huo leo Julai 4, 2022 wakati wa ziara yake aliyoambatana na Kamati za Usalama za Mkoa na wilaya za Sengerema na Misungwi kwenye daraja hilo iliyolenga kuona namna kazi inavyofanywa katika kuwaunganisha wananchi wa Kigongo na Busisi.

"Niendelee kulipongeza jeshi la Polisi na kuanzia leo tutaongeza ulinzi kwenye daraja hili ili kuhakikisha wakati vyuma na vifaa vingi zaidi vinatumika panabaki kuwa salama na eneo la mita 300 kulia na kushoto mwa daraja hili litakua kwenye ulinzi ikiwa ni kwa usalama wa wavuvi pia." amesisitiza Mkuu wa Mkoa.

Mkuu wa Mkoa aliendelea kufafanua kuwa mtu yeyote atakayekamatwa na kifaa ambacho asili yake ni kwenye mradi huo atachukuliwa hatua za kisheria hivyo amewataka wafanyakazi darajani hapo kuridhika na mishahara na kuwa wazalendo kwa kulinda vifaa.

"Uzalendo hapa uwe ndio dira yetu, viongozi na wananchi tuwe wasimamizi wa pamoja kwenye mradi huu ili kuhakikisha vifaa na mitambo vinatunzwa na mradi unakamilika ndani ya muda uliokusudiwa." Mhe Robert.

Awali, Mkandarasi Mshauri wa Mradi Abdulkarim Majuto amefafanua kuwa ujenzi wa daraja la JPM umefikia asilimia 47.4 na kwamba nguzo 21 kati ya 67 tayari zimewekwa na ndani ya mwezi huu zitawekwa nguzo ulalo na zege ya juu.


Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti