• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

SAUT- Yaaswa kusajiri kikundi chao Kisheria

Posted on: March 8th, 2018


Umoja wa wanawake wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino Mwanza –SAUT wameaswa kusajiri kikundi hicho kisheria ili waweze kufaidika na fursa mbalimbali za kiuchumi katika kuelekea uchumi wa viwanda na malengo ya maendeleo ya Dunia ya Milenia.“Millennium Development Goals”.

Haya yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella wakati wa maadhimisho ya  siku ya wanawake duniani yaliyofanyika katika Ukumbi wa M10 Chuoni hapo, akiwa ni mgeni Rasmi katika Jumuiya ya Chuo hicho,Kampasi ya Malimbe Jijini Mwanza ambapo kwa mwaka huu kauli mbiu ya maadhimisho hayo kitaifa ni KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA,TUIMARISHE USAWA WA JINSIA NA UWEZESHAJI WA WANAWAKE VIJIJINI.

Akihutubia katika maadhimisho hayo Mhe. Mongella amewataka washiriki wote wa maadhimisho hayo kujiuliza maswali yenye kuleta dhana nzima ya siku ya wanawake, “Nini maana ya siku hii, ilianzishwa na nani, ilianzishwa kwa sababu zipi,Je wadau wa maendeleo hususani Taasisi za Elimu ya juu kama SAUT kupitia tafiti mbalimbali zinasaidiaje jamii ya akina mama, na zinamuhusishaje mwanamke aliyeko kijijini kuijua dhana nzima ya Uchumi wa Viwanda Tanzania”.Alisema Mhe.Mongella.

Mhe. Mongella amesisitiza kuwa zaidi ya kusherekea mafanikio na jitihada za kuleta usawa wa kijinsia katika familia, katika jamii, na katika taasisi zetu tunao wajibu wa kutumia muda kutafuta fursa na kutafuta majibu ya changamoto mbalimbali katika jamii ili kuendelea kubomoa ukuta unaokwamisha wanawake kushiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo.

Aidha, amefurahishwa na ushirikiano uliopo kati ya Chuo kikuu cha SAUT na Shule za Sekondari ambazo ni majirani na Chuo hicho katika Mkoa wa Mwanza hali inayotia hamasa hususani kwa vijana walioko Sekondari kuuona umuhimu wa kuifikia elimu ya juu, ambapo Sera ya Awamu ya tano ni “kuelekea uchumi wa viwanda” na vijana ndio tegemeo la nguvu kazi ya uzalishaji kupitia viwanda vyetu tunavyoviandaa hivyo ameahidi Serikali ya Mkoa kuendelea kutoa ushirikiano katika suala zima la ulinzi na usalama,na shughuli nyinginezo za kimaendeleo.

Mhe.Mongella ameawahidi kuwashirikisha hususani wanawake katika fursa zitakazijitokeza katika ofisi yake na wadau wa maendeleo ya wanawake Kitaifa na Kimataifa,pia amewataka kuwa wabunifu wa miradi na shughuli zinazowalenga wanawake vijijini kwa kuwaelimisha na kuwashirikisha kupitia dhana ya usawa kwa mpango wa huduma kwa jamii.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti