• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

TADB Yazinduliwa kuongeza mtaji kwa wanchi

Posted on: March 19th, 2019


Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Maendeleo ya  Kilimo Tanzania (TADB), Japhet Justin amesema hadi kufikia Februari mwaka huu benki hiyo imefikia mtaji wa Sh.bilioni 68.

Ametoa kauli hiyo leo Machi 19, 2019 katika uzinduzi rasmi wa benki hiyo katika kongani ya kanda ya ziwa unaofanywa na Waziri Mkuu Mhe.Kassimu Majaliwa jijini Mwanza.

Justin amesema kiasi hicho ni sawa na ongezeko la asilimia 13 ya Sh.60 bilioni walizopewa na Serikali mwaka 2015 ilipoanza kufanya kazi rasmi.

"Mpaka sasa tumeshatoa mikopo yenye thamani ya Sh.107 bilioni na kati ya fedha hiyo tayari imesharejeshwa Sh.31.4 bilioni ," amesema Justin.

Ameongeza kuwa katika upande wa kilimo cha pamba kwa mwaka 2018 benki hiyo ilitumia Sh.6.6 bilioni kwa ajili ya kununua pembejeo na viuatilifu kwa wakulima zaidi ya laki 2.

"Upande wa Kahawa tulitumia Sh.30 bilioni na kwa sasa kuna ekari zaidi ya 2000 wilayani Buchosa ambazo zimetengewa zaidi ya Sh. Bilioni 2.

Kuhusu alizeti amesema wametenga Sh. Milioni 800 kujenga kiwanda cha Alizeti wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga na katika ufugaji, benki inatarajia kufungua kiwanda ambacho kitakuwa na uwezo wa kuchinja ng'ombe 125 ambapo wametenga Sh.bilioni 8  kwa ajili ya kiwanda hicho.

Ameongeza kuwa  katika sekta ya uvuvi pia wametenga Sh.bilioni 40  ambazo zitakopeshwa katika sekta hiyo ili kujenga viwanda vya kuchakata samaki.

Aidha, Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo Rosebert Kulwijila amesema tangu benki hiyo ianzishwe wameshakopesha matrekata 50 kwa wakulima katika mikoa ya kanda ya ziwa.

Amesema jumla ya wakulima 6,864 watanufaika na matreka hayo yanayoendelea kutolewa na benki hiyo ambapo kwa leo pia waziri mkuu atakabidhi matreka 16 kwa viongozi wa vyama vya ushirika

Naye Mkuu wa mkoa wa Mwanza  Mhe.John Mongella amesema Mkoa una benki 28 za kibiashara zenye matawi 26 kwenye halamshauri zote za mkoa huo sawa na zaidi ya asilimi 90 ya benki zote.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti