TARURA na RUWASA wanolewa kujenga Miradi bora
TARURA na RUWASA wanolewa kujenga Miradi bora
Katibu Tawala Msaidizi Seksheni ya Miundombinu, Mbunifu Majengo Chagu Nghoma leo Agosti 23, 2023 ameendelea na Kikao Kazi kwa kukutana na Wahandisi kutoka TARURA na RUWASA ambapo kwa pamoja wamejadili namna bora ya kutekeleza Miradi kwa kuziangazia changamoto zinazowakabili na namna ya kuzipatia ufumbuzi.




