• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

TCAA Yatoa Mafunzo Shule za Sekondari Nsumba na Nganza

Posted on: October 6th, 2020

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) watoa mafunzo ya kuwajengea uwezo na uelewa kuhusiana sekta ya usafiri wa  anga wanafunzi wa shule za sekondari ya Nsumba na Nganza Mkoani Mwanza .

Akizungumza katika warsha ya kutoa elimu, Bi  Thamarat Abeid Mkufunzi Mkuu Huduma za Viwanja vya Ndege kutoka Chuo cha Usafiri wa Anga(CATC) kinachomilikiwa na TCAA anasema wanatambua vijana wanaihitaji kujengewa  uelewa kuhusu sekta hiyo na  fursa za ajira  zilizoko kwenye sekta, hivyo anawataka wanafunzi hao kuzingatia masomo ya sayansi ili kufikia azma hiyo.

Ameongeza kuwa TCAA itaendelea kutoa elimu hiyo katika mikoa ya Tanzania bara na Tanzania Zanzibar ili kuwapa  mwangaza utakaosaidia kunufaika kujiandaa vyema, kujiunga   na hatimaye kunufaika  na fursa za ajira katika sekta ya usafiri wa anga.

Naye Mwongoza ndege kituo cha kuongozea ndege kilichopo uwanja wa ndege Mwanza Bw. Benjamin Massery alisema elimu hiyo itawasaidia wanafunzi kutambua wasome masomo gani na ufaulu upi unaohitajika ili  kuingia katika taaluma za usafiri wa anga.

" Tuna upungufu wa wataalam  katika sekta ikiwa ni pamoja na  marubani hivyo lengo letu ni kupata watu wengi hivyo elimu hii itaamusha chachu na kuzalisha wengi hapo tunawajengea uwezo hasa katika eneo la kuongoza ndege , wakati mwingine unakuta wanafunzi anajiuliza afanye nini, tumewapa elimu tambuzi ili mtambue atakayehitaji kuwa muongoza ndege asome kitu gani." Alieleza Massery.

Jofrey Osiro mwanafunzi wa Nsumba na Veronica John kutoka Nganza walisema vijana wengi wanapotea kwa sababu hawajapata ushauri kuhusiana na Mamlaka hiyo hivyo baada ya kufundishwa wamejifunza vitu vingi ambayo vinaweza kuwasaidia katika maisha yao.

' Mama yangu aliniambia ni vigumu sana kuwa rubani lakini mimi sijakata tamaa nina imani nitakuwa rubani ama kufanya kazi katika viwanja vya ndege leo nimejifunza vitu vingi nitayatekeleza kwa kufanya vizuri katika mitihani yangu nipate ufahulu wa juu ili nipate ufadhili wa masomo , nimefurahi sana kujua Tanzania kuna chuo kinachonifanya kutimiza ndoto yangu mwanzo nilitambua hakuna chuo hicho nchini sasa nitaitumia vyema  fursa hiyo". Anaeleza John.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti