• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

TUENDELEE KUWAOMBEA VIONGOZI WETU NA KUFANYA KAZI KWA BIDII: RC MTANDA

Posted on: April 7th, 2024

TUENDELEE KUWAOMBEA VIONGOZI WETU NA KUFANYA KAZI KWA BIDII: RC MTANDA


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewakumbusha viongozi wa dini na waumini wao kuendelea kuwaombea viongozi wetu akiwemo Rais Samia na wasaidizi wake ili watimize ndoto zao za kulijenga Taifa lenye uchumi imara.

Mhe. Mtanda ametoa rai hiyo leo Aprili 7, 2024 wakati wa hafla ya kusimikwa viongozi wa seksheni ya Nyamagana kaskazini iliyofanyika kwenye kanisa la TAG Igoma na kusema kasi ya kuwaletea maendeleo inayofanywa na viongozi wetu haina budi kumtanguliza Mungu kwa kuwaombea ili wazidi kuwa na hekima katika kutimiza malengo yao.

"Baba Askofu Isack Gwalalika nimesikia baadhi ya nyimbo zenu zikiwa zimebeba  ujumbe mzuri kwetu za kutojikweza unapokuwa na mamlaka au nafasi ya juu na badala yake kujishusha ili kuzidi kupata thawabu kwa Mungu," Mkuu wa mkoa.

Mhe. Mtanda anayepita kujitambulisha pia amewahakikisha waumini hao Serikali inatambua mchango wa Taasisi za kidini katika kumletea maendeleo mwananchi na kuwaahidi kutoa ushirikiano wa kutosha na wao wafanye kazi kwa bidii ili kuwatia moyo viongozi wetu.

Kwa upande wake Askofu wa Jimbo la Mwanza kusini Isack Gwalalika amebainisha wao wataendelea kuiunga mkono kwa vitendo Serikali inayokuwa madarakani ili kulijenga Taifa la wachapakazi.

Baadaye jioni Mhe.Mtanda ameshiriki Iftar iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mh.Amina Makilagi kwenye Hotel ya Gold Crest na kupata wasaa wa kuzungumza akihimiza kuendelea kutenda mema hata baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani na kuwaahidi kusikiliza na kuzipatia ufumbuzi kero mbalimbali za wananchi.

Akiwa kwenye msikiti wa dhehebu la Hindhu eneo la Makoroboi uliotimiza miaka 47,Mkuu huyo wa mkoa ameendelea kuhimiza mshikamano ili kuwapa maendeleo yenye tija wananchi.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti