• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Tumekuja kujifunza kujionea hali halisiya kiuchumi,kisiasa na kijamii iliyoko Mikoani na Wilayani

Posted on: January 14th, 2019

Chuo cha Ulinzi cha Taifa chafanya ziara ya kujifunza  mkoani Mwanza lengo likiwa kujionea hali halisi ya kiuchumi,kisiasa, kilimo, viwanda Mikoani.

Akizungumza Wakati wa utambulisho Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John V.K Mongela amesema Mkoa wa Mwanza ni Miongoni mwa Miji Mikubwa inayokua kiuchumi kwa kasi Ukanda huu wa Afrika Mashariki wenye wakazi zaidi ya Milioni Tatu.

Mkoa wa Mwanza  ni mlango wa Biashara kwa Majiji makubwa yalipo Afrika Mashariki kama vile Kisumu,Kampala, Kigali. Aidha Mhe Mongela amesema Mkoa wa Mwanza unafursa nyingi za uwekezaji kwenye sekta ya Kilimo Biashara, Uvuvi na Ufugaji.

Akizungumza na waandishi wa Habari Msimamizi wa Chuo cha Ulinzi cha Taifa Luteni Jenerali Peter Paul Massao amesema chuo chao kimefanya ziara hii kwa lengo la kujifunza kwa vitendo na kujionea Uhalisia wa masuala ya Kiuchumi,Kisiasa, Viwanda na Kilimo baada ya kujifunza Chuoni.

" Tumekuja kujifunza ili kujionea hali halisi ilioyoko mikoani na kwenye wilaya zetu kisha tutaandika Taarifa ya tulichokiona pamoja na mapendekezo na kuyafikisha kwa viongozi kwa ajili ya ushauri" alisema  Luteni Jenerali Peter Paul Massao

Ugeni huo utatembelea Kiwanda cha Nyama cha Chobbo, Mitambo ya uzalishaji Umeme Nyakato

                   Luteni Jenerali Paul Massao akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Zawadi yenye nembo ya Chuo cha Ulinzi cha Taifa 

                    

                 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongela akimkabidhi Lt. jenerali Paul Massao zawadi yenye mchoro wa "Bismark Rock" mchoro unaoitambulisha Mwanza

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti