• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Tutuba aipongeza Buchosa kupata hati safi

Posted on: June 2nd, 2020




Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa imefanikiwa kupata hati safi  katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali zilizoidhinishwa na Serikali ambapo ilifanikiwa kupata hati hiyo (isiyo na mashaka) katika mapendekezo 35 yaliyotolewa ukilinganisha na mapendekezo 54 yaliyotolewa mwaka wa fedha 2017/2018.

Akiwasilisha utekelezaji wa hoja zilizotolewa na Ofisi ya mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na hesabu za Halmashauri za mwaka 2018/2019 Mkurugenzi  Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa  Crispin Luanda amesema kuanzia 2015 hadi 2019 mapendekezo yaliyotolewa ni 209,mapendekezo yaliyotekelezwa 128 ,yanayoendelea kutekelezwa 51,yalipitwa na wakati 37 huku yasiyotekelezwa ni 11.

"Tumepokea maelekezo tutaendelea kuchapa kazi pia baada ya miezi michache tunatarajia kuamia katika jengo letu la ofisi jipya tunalojenga"alisema Luanda.

Naye Mbunge wa Jimbo la Buchosa Mhe.Dkt. Charles Tizeba amemuhoji Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kuhusu hoja zinazojitokeza za kuleta madhara   katika jamii  ambapo Mkaguzi wa hesabu za Serikali amesema kuwa  mara nyingi hutolewa maelekezo kwa  menejimenti kufuata taratibu zinazostahili ili kunapokuwa na madhara yasiweze  kujitokeza wakati mwingine.

Akitolea ufafanuzi kuhusu pale inapojitokeza kuwepo kwa muingiliano wa maslahi binafsi kuingilia katika kazi,Mkurugenzi wa Halmashauri Crispin Luanda amesema zipo sheria zinazowaongoza ili wasiweze kuingilia katika kazi mfano TBA hawawezi kujenga majengo halafu wajikague wenyewe ni kinyume na utaratibu.

Kwa upande wake Katibu Tawala wa Mkoa Emmanuel Tutuba amewapongeza Halmashauri ya Wilaya ya Buchosa kupata hati safi na kuwaasa waendelee kujipanga ili miaka yote wahakikishe wanapata hati safi.

"Katika Halmashauri changa zinazofanya vizuri katika miradi ya maendeleo  Buchosa mmo mnafanya kazi nzuri ili Jambo lisiishie hapa bali liwe endelevu  huu ni wakati wakuchapa kazi "anaeleza Tutuba.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti