• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

USAJILI WA ALAMA ZA VIDOLE KWA WAGONJWA KWA KUTUMIA TEHAMA UTABORESHA HUDUMA ZA AFYA-RC MAKALLA

Posted on: July 6th, 2023

USAJILI WA ALAMA ZA VIDOLE KWA WAGONJWA KWA KUTUMIA TEHAMA UTABORESHA HUDUMA ZA AFYA-RC MAKALLA


*Asema usajili utarahisisha tiba na ufuatiliaji wa wagonjwa wa VVU


*Ahaidi Serikali kuiunga mkono Shirika la ICAP kwenye Sekta ya afya kwa ujumla.


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.CPA Amos Makalla amelipongeza Shirika la ICAP kwa kutoa vifaa vya TEHEMA kwa ajili ya usajili wa alama ya vidole kwa wagonjwa wa VVU kwenye Halmshauri zote nane Mkoani humo.

Akizungumza kwa niaba yake leo kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakati wa kupokea vifaa hivyo,Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mhe.Amina Makilagi amesema awali kulikuwa na changamoto ya upotevu wa kumbukumbu na ugumu wa ufuatiliaji  kwa wagonjwa wa VVU,lakini sasa huduma hiyo itakuwa na tija.

"Shirika la ICAP mmekuwa mstari wa mbele katika kutoa huduma kwenye vituo vya afya na kwa jamii,hatua hii ya vifaa hivi vya TEHEMA sasa tunakwenda kuimarisha taratibu za usalama,kuboresha taratibu za Utawala na huduma kwa wagonjwa kwa ujumla,"Amina Makilagi,Mkuu wa Wilaya Nyamagana.

"Leo tunakabidhi vifaa hivi vya TEHAMA vyenye thamani ya zaidi ya Shs  milioni 314,lengo letu sisi kama ICAP ni kuiunga mkono Serikali katika kuboresha huduma kwenye sekta ya afya hasa maeneo ya vijijini na kwa jamii kwa ujumla,"amesema Dr.John Kahemele,Kaimu Mkurugenzi mkazi nchini,ICAP.

Naye mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Mhe.Sixbeth Gichagu amebainisha uboreshji wa huduma za afya  ni miongoni mwa Ilani ya CCM hivyo ni wajibu wao kuiunga mkono ICAP katika harakati zao za kuboresha huduma za afya.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti