• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

VYAMA VYA USHIRIKA SIMAMENI IMARA KUONDOA UMASIKINI NCHINI: RC MAKALLA

Posted on: October 26th, 2023

VYAMA VYA USHIRIKA SIMAMENI IMARA KUONDOA UMASIKINI NCHINI: RC MAKALLA


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. CPA Amos Makalla ametoa wito kwa vyama vya Ushirika nchini kusimama imara katika shughuli zao ili kuondoa umasikini na kuongeza ajira.

Akizungumza kwa niaba yake katika kilele cha siku ya Ushirika kwenye viwanja vya Furahisha ambapo kitaifa imefanyika Mkoani Mwanza, Katibu Tawala wa Mkoa huo Balandya Elikana amesema bado lipo kundi la Watanzania linaloishi katika hali ya umasikini hivyo kwa kupitia kazi za vyama vya Ushirika watakuwa mkombozi wa kuondokana na hali hiyo.

"Kwa mujibu wa Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 kuna kundi la Watanzania la asilimia 12 wanaoishi katika hali ya umasikini, ni matumaini yangu mipango imara ikifanyika kundi hilo litaondokana na umasikini kwa kupatiwa mikopo au shughuli za kujikwamua kiuchumi", Balandya.

Amevipongeza  vyama vya Ushirika kwa kupiga hatua wakianzia na mitaji midogo na kufikia mitaji mikubwa hadi Trilioni moja na kuwataka kuendelea kuheshimu kanuni na sheria zinazowaongoza.

"Ndugu mgeni rasmi  vyama hivi vya Ushirika vimekuwa vikifanya vizuri na mipango iliyopo sasa tumejipanga kuwa bora zaidi kwa upande wa Tehema ili shughuli zao zisambae hadi vijijini",Dkt.Abdulmajid Nsekeka,Mwenyekiti wa Tume ya kamisheni ya Ushirika Tanzania.

Akizungumzia hali ya vyama vya Ushirika nchini Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya vyama vya Ushirika Dkt.Benson Ndiege amebainisha hadi sasa wana mali yenye thamani ya Shs Trilioni 1.22 huku wakitoa mikopo ya Shs Trilioni 1.05

Katika kilele hicho cha ufungaji wa siku ya Ushirika,baadhi ya vyama vya Ushirika vilipatiwa tuzo mbalimbali kutokana na kufanya vizuri katka shughuli zao.

Kauli mbiu ya siku ya Ushirika mwaka huu inasema "Wanachama kusaidiana"

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti