• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Wachezaji kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza waagwa kushiriki SHIMIWI Iringa

Posted on: September 26th, 2023

Wachezaji kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza waagwa kushiriki SHIMIWI Iringa


Afisa Elimu Mkoa wa Mwanza Martin Nkwabi amewataka Wachezaji kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo wanaokwenda kushiriki Michuano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali  (SHIMIWI) mkoani Iringa kwenda kucheza kwa bidii ili warudi na ushindi.

Ndugu Nkwabi ametoa wito huo leo Septemba 26, 2023 wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wachezaji hao iliyofanyika kwenye Ofisi za Elimu ambapo ufunguzi rasmi wa michuano hiyo unatarajiwa kufanywa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Oktoba 04, 2023.

Akizungumza na timu hiyo yenye jumla ya wachezaji 15 watakaokipiga kwenye michezo ya Mpira wa Pete, Karata, Riadha, Baiskeli, Drafti na Kurusha Mishale Nkwabi amewataka kwenda kuzingatia walichofundishwa kwenye mazoezi na kuhakikisha wanarudi na vikombe vya ushindi.

"Ushindani unaleta maendeleo, ni lazima twende na ari ya ushindi tuone furaha ya kurudi na ushindi na katika kufanikisha hilo ni lazima twende na moyo wa ushindani  na ushirikiano wa pamoja ili tufanikiwe lengo letu." Nkwabi amesisitiza.

Kaulimbiu ya Michuano hiyo (SHIMIWI) mwaka huu inasema "Michezo mahala pa kazi huimrisha afya na kuongeza ufanisi kazini".

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti