• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Wahandisi 40 Waapishwa Mwanza

Posted on: February 5th, 2020


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella amefungua kikao  cha hafla ya kuwaapisha Wahandisi wa Kanda ya Ziwa na kuwataka kujitahidi kuishi kwa viapo vyao kwani kwa kukiuka kiapo ni kuvunja sheria.

"Unapoapa hadharani ni kuapa kwa Mungu wako,ishini viapo vyenu... niwaambie sehemu zenye Wahandisi wanawake kazi hufanyika kwa ubora zaidi hii inamaanisha wanaishi viapo vyao na kutunza uadilifu katika kazi wanazopewa,alisema Mhe.Mongella.

Aidha, Mongella ameongeza kuwa Wahandisi wanafanya kazi nzuri wajiamini mara nyingi hukesha katika kazi, hivyo wana uwezo mkubwa nawaasa wawe na moyo wa kuthubutu kwa kufanya hivyo watasonga mbele zaidi.

"Jitahidini kujenga misingi ya ujasiliamali katika fani mlizosomea,wengi mna uwezo wa kubuni na kufika mbali ila hamjapata mori ya uthubutu,alisema Mhe.Mongella.

Akizungumza wakati wa kikao hicho Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi(ERB) Mhandisi Patrick Balozi  amesema jukumu kubwa ya Bodi ni kusajili Wahandisi wa kada zote, kusimamia na kuratibu mienendo ya Wahandisi na shughuli zao zinazofanywa pamoja na Makampuni mbalimbali ya kihandisi.

"Bodi ya Usajili wa Wahandisi ni Taasisi ya Serikali iliyoanzishwa  chini ya Sheria ya Bunge namba 15 ya 1997 na kufanyiwa marekebisho chini ya sheria na 24 ya mwaka 2007, alisema Mhandisi Balozi.

Naye Hakimu Mkazi Mahakama ya Mkoa wa Mwanza  Mhe.John Jagadi akitoa kiapo kwa Wahandisi hao amesisitiza kuwa Wahandisi watakaposhindwa kutimiza yale waliyoapa ndipo vyombo vya kisheria huchukua hatua staiki.

Kwa upande wake Mtendaji Mkuu wa huduma za Meli Tanzania Eric Hamissi amesema katika maeneo ambayo yanategemewa sana kwa maendeleo ni maeneo yanayosimamiwa na Wahandisi na kuwataka kuendelea kuwa waaminifu katika taaluma yao.

"Nashukuru mnapotutembelea katika miradi yetu mnakwenda kukutana na Wahandisi mbalimbali wakiwemo Wahandisi wa Cherezo ambao ni mradi mpya kwa hapa kwetu Tanzania naimani mtaongeza maarifa zaidi,alisema Eric.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti