• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Wananchi wa Mwanza wahimizwa kuitumia vyema wiki ya kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza

Posted on: November 9th, 2022

Rai imeendelea kutolewa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza na viunga vyake kuchangamkia fursa ya Maadhimisho wiki ya kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza inayoendelea uwanja wa CCM Kirumba ili waelimike kuhusiana na afya ya mwili kwa ujumla.

Akifungua leo maonesho na utoaji wa huduma za afya,Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Ndugu Kaspar Mmuya amesema kasi ya magonjwa hayo sasa imefikia asilimia 40 huku waathirika wakianzia watu wenye umri mdogo tofauti na miaka ya nyuma maradhi hayo yalikuwa yakiwakuta wazee hali hiyo inatoa somo kuwa tatizo hilo ni kubwa hapa nchini.

"Wananchi wanapaswa sasa kuzingatia njia sasa za kuboresha afya zao kuanzia mlo sahihi wa vyakula visivyo na mafuta sana pamoja na chumvi na kula kwa wingi mboga za majani na matunda"amesema Mmuya.

Mtendaji huyo mwandamizi wa Serikali amesema takwimu zinaonesha watu hawana utaratibu wa kuchunguza afya zao na wanapogundulika tatizo linakuwa limepiga hatua hali ambayo inaleta hofu na taharuki.

"Tukiwa na tabia ya kujichunguza afya mara kwa mara na kubadili mtindo wa maisha,nguvu kazi ya Taifa itakuwa imara lakini kinyume cha hapo kasi ya kiuchumi kuanzia ngazi ya familia itazorota kutokana na muda mwingi na gharama kutumika kujitibu" amesisitiza Naibu Katibu  Mkuu

Kwa upande wake kaimu Mkurugenzi wa magonjwa yasiyoambukiza,ajali na afya ya akili kutoka Wizara ya Afya Dkt James Kiologwe amesema mwamko uliooneshwa na wananchi tangu kuanza kwa wiki hiyo  unawapa matumaini kuwepo na matokeo chanya katika malengo yaliyokusudiwa.

Kilele cha Maadhimisho ya wiki ya kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza yatakuwa Novemba 12 mgeni rasmi akitarajiwa kuwa ni Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa.



Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti