• barua pepe
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Wasiliana Nasi
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Mwelekeo
    • Historia ya Mkoa
    • Muundo
  • Wilaya
    • Babati
    • Mbulu
    • Hanang
    • Kiteto
    • Simanjiro
  • Idara
    • Utawala na Rasilimali Watu
    • Planning and Management
    • Fedha na Uhasibu
    • Ukaguzi wa Ndani
    • ununuzi na Ugavi
    • Uchumi na Uzalishaji
    • Miundombinu
    • Serikali za Mitaa
    • Social Welfare
    • Tehama
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
  • Investments
    • Investment One
    • Investment Two
    • Investment Three
    • Investment Four
    • Investment Five
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Sports and Games
    • Hotuba
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video

Watumishi wa Afya ongezeni bidii katika kuwahudumia wananchi: RAS Mwanza

Posted on: December 29th, 2023

Watumishi wa Afya ongezeni bidii katika kuwahudumia wananchi: RAS Mwanza


Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ndugu Balandya Elikana amefanya ziara ya kikazi  kwenye Kituo cha Afya Igoma kwa lengo la kuwasikiliza watumishi na kupata maoni yao kuhusu kuboresha utendaji kazi na mazingira ya kufanyiakazi.

Akizungumza na watumishi hao Alhamisi  hii, Ndugu Balandya amesema kada ya afya ni nyeti ambayo inagusa uhai wa mwanadamu hivyo watumishi hao ni lazima watangulize viapo vyao kwa kufanya kazi kwa weledi.

"Leo nimefika hapa mahsusi kwa ajili ya kuja kuwasikiliza ninyi na ndio maana sikuwa na hotuba," alisema Balandya.  Nimewasikia changamoto zinazowakabili ambazo nyingi ni za kuboresha mazingira yenu ya kazi, nawaahidi zitafanyiwa kazi haraka na Mkurugenzi wa Jiji atalisimamia hilo na kunipa taarifa pia maafisa utumishi shughulikieni changamoto za Watumishi kwani nyingi siyo tatizo tena zipo ndani ya uwezo wenu," amefafanua Mtendaji huyo.

Kwa upande wake Muuguzi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ambaye ni Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa Bi.Claudia Kaluli amewataka watumishi hao kubadilika na kufanya kazi kwa bidii kutokana na tathmini iliyofanywa kuonesha utendaji wa kazi usioridhisha kwa kituo hicho cha Afya.

"Niwaombe sana watumishi wenzangu,tangulizeni uzalendo haya malalamiko ya wananchi hayaleti sura nzuri kwa kada yetu ya afya,"Kaluli

Miongoni mwa changamoto zinazowakabili watumishi hao wa kituo cha afya Igoma ni pamoja na kuchelewa kupanda vyeo, kubadilishiwa kada, kuchelewa kulipwa stahiki za likizo na uhamisho, kukosekana kwa umeme wa uhakika japo Kangavuke ipo pamoja na kuongezewa eneo la kituo hicho na kuboreshewa barabara ya kuingia kituoni.

Latest Announcements

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali.

    soma zaidi
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025

    soma zaidi
  • View More

Habari Mpya

  • SIKU 100 ZA RAIS DKT. SAMIA: UKEREWE YAPATA AJIRA 127
  • RC MTANDA AWASILI WILAYANI UKEREWE KWA ZIARA YA KIKAZI
  • MWANZA YAIMARISHA UTETEZI WA WATU WENYE ULEMAVU
  • SERIKALI YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU WA SEKTA YA BIASHARA
  • CHOROKO KWENYE RAMANI YA UCHUMI WA TAIFA
  • soma zaidi

Wasiliana Nasi

Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government Mkoa wa Mwanza
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Balewa/Machemba Road Street
S.L.P: S.L.P 1333, Mwanza
Simu: +255 28 250 1375
Barua Pepe: cd@mwanzacc.go.tz
Simu ya Mkononi: 0768520195
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
S.L.P: S.L.P 735, Mwanza
Simu: + 255 736 200910
Barua Pepe: md@ilemelamc.go.tz
Simu ya Mkononi:
Halmashauri ya Wilaya ya Magu
S.L.P: S.L.P 200, Magu
Simu: 028-2530035/2530003
Barua Pepe: ded@magudc.go.tz
Simu ya Mkononi:

Viunganishi vya Haraka

  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Fomu ya Ugonjwa
  • Opras fomu
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • FFARS User Guidelines
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Salary Slips Portal
  • Tovuti ya Sekreatarieti ya Ajira Tanzania
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Tovuti ya Ikulu
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Rasmi ya Wananchi
  • Tovuti Kuu ya Takwimu Huria

Social Media

  • Like us on Facebook
  • Follow us on Twitter
  • Find us on Youtube
  • Follow us on Instagram

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.

  • Kanusho
  • Sera ya faragha
  • Maswali ya Mara kwa Mara
  • Ramani ya Tovuti