• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

WAANDISHI WA HABARI MWANZA WAPIGWA MSASA MIKAKATI YA KUTOKOMEZA WATOTO WA MITAANI

Posted on: May 29th, 2025

WAANDISHI WA HABARI MWANZA WAPIGWA MSASA MIKAKATI YA KUTOKOMEZA WATOTO WA MITAANI


Mganga Mkuu wa Mkoa Mwanza Dkt. Jesca Lebba amewapa mafunzo mafupi waandishi wa Habari mkoani Mwanza juu ya njia za kutokomeza watoto wa mtaani mkoani humo huku akisisitiza maswala ya malezi kwa wazazi kuwa bora wakati wote hata kama kuna sintofahamu baina ya wazazii hao.

Ametoa mafunzo hayo Leo 29 Mei, 2025 katika ukumbi wa Ofisi ya Mganga mkuu wa mkoa Mwanza, huku akiwataka waandishi hao kutoa Elimu ya kutosha kupitia vyombo vyako vya Habari, pia kuhamasisha sheria za kutoa misaada zifwate katika jamii Ili kuweza kutokomeza Hali hiyo.

“Wapo wale ambao Wana uwezo hivyo misaada tunayotaka kutoa katika jamii tuwe tunafata Sheria na taratibuu Ili kuweza kufika pale tunataka, hivyo kwa pamoja naomba mtusaidie kutoa Elimu katika jamii na Sisi tunawaahidi ushirikiano” Amesema Jesca

Alikadharika, ameongeza kwa kuwataka wahusika wa kampeni hiyo kutokata tamaa na kuwa na moyo wa uthubutu ili kuja kuwa wa mfano katika nchi ya Tanzania, hivyo tushirikiane na serikali kuanzia serikali ya mtaa, kata na mpaka ngazi ya juu kwa kusambaza vipeperushi kwa wingi pamoja na kufanya vipindi kwa lengo la kusambaza ujumbe katika jamii.

Awali ya hapo, Afisa Ustawi wa Mkoa Ndugu Baraka Kona Kona akiweka bayana kuwa vyanzo vikuu vya kuongezeka kwa watoto hao ni migogoro ya kifamilia, Hali duni za kimaisha na ukosefu wa Elimu, amewataka waandishi wa Habari kuwa makini katika kuripoti Habari za watoto wa mtaani kwa lengo la kuongeza uelewaa katika jamii Ili kupunguza idadi wa watoto wa mtaani katika Mkoa wa Mwanza.

“Nawaomba waandishi wa Habari muwe mstari wa Mbele maana nyie ndio washika kamera hivyo mna nguvu kubwa ya kuweza kusambaza Elimu juu ya kutokomeza watoto wa mtaani “ Amesema Baraka.

Matangazo

  • Tangazo la kukutana na Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kwa shida mbalimbali. January 08, 2025
  • TANGAZO LA NANENANE TAREHE 8.8.2025 January 08, 2025
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MWANZA, SIMIYU ZANG'ARA UTAMILIFU DARASA LA SABA KANDA YA ZIWA

    May 30, 2025
  • RAS MWANZA AZINDUA RASMI MRADI WA KUPAMBANA NA UGONJWA WA SELI MUNDU

    May 30, 2025
  • WAANDISHI WA HABARI MWANZA WAPIGWA MSASA MIKAKATI YA KUTOKOMEZA WATOTO WA MITAANI

    May 29, 2025
  • RAS MWANZA AWATAKA VIONGOZI WA UMMA KUDUMISHA NIDHAMU NA UFANISI KAZINI

    May 26, 2025
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Siku 365 za Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Mwanza
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive

    S.L.P: 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.