MWENYEKITI WA KAMATI YA MAANDALIZI YA NANENANE KANDA YA ZIWA MAGHARIBI, MKUU WA MKOA WA MWANZA MHE. Said M. Mtanda ANAYO FURAHA KUUJULISHA UMMA KUWA, MAONESHO YA NANENANE MWAKA 2025 YATAFANYIKA KATIKA UWANJA WA NYAMHONGOLO ULIOPO MANISPAA YA ILEMELA KUANZIA TAREHE 01 HADI SIKU YA KILELE TAREHE 08/8/2025.
WADAU, TAASISI, ASASI, MASHIRIKA NA MAKAMPUNI YOTE MNAKARIBISHWA KUSHIRIKI/KUONYESHA NA KUTANGAZA BIDHAA NA HUDUMA ZENU
KWA MAELEZO ZAIDI FIKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA MWANZA IDARA YA KILIMO
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.