• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

Kituo Cha afya Bwisya chapandishwa hadhi

Posted on: September 23rd, 2020

Wakazi wa Kisiwa cha  Ukara Wilayani Ukerewe Mkoani Mwanza wametakiwa kufanya maamuzi sahihi na kumchagua kiongozi mwenye uwezo,umakini na mzalendo wa kusimimia rasilimali za nchi na kuwanufaisha huku  kituo cha afya Ukara kikipandishwa hadhi na  kuwa hospitali ya Wilaya ili kuimarisha upatikanaji wa huduma za afya.

Akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Bwisya kilichopo kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa ,Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa anasema ili kuwaondolea gharama za usafiri wa wananchi wa Ukara za kufuata huduma nyingine za afya katika hospitali ya Wilaya hiyo iliopo Nansio.

Anasema  kuipandisha hadhi  kituo hicho cha afya hivyo  huduma nyingine zitaongezeka ikiwemo kuongeza majengo sanjari na kuongeza watoa huduma wakiwemo madaktari bingwa huku hospitali ya Wilaya ya Ukerewe iliopo Nansio ikipandishwata hadhi ya kuwa ya Mkoa, pia alitoa ahadi kwa wananchi hao wa Ukara ya kuwaletea gari 1 la kubeba wagonjwa .


"Nimefika hospitalini hapo ipo vizuri nimesalimiana na wazazi kuna watu wanasema hospitali hii imejengwa kwa damu hiyo inashangaza kwani nyie hamkuona maroli yakisomba mchanga?,matofali yakifyatulia sasa unaposema imejengwa kwa damu unamaanisha nini?" anaeleza Majaliwa.

Pia Majaliwa ameweka mashada kwenye mnara wa makabuli ya watu waliofariki katika ajali ya Mv. Nyerere iliyotokea September 20 mwaka 2018 katika Kijiji cha Bwisya kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe ambapo watu takribani 227 walipoteza maisha.

Naye Mgombea ubunge Jimbo hilo kwa kupitia CCM Joseph Mkundi alishukuru kwa kituo cha afya kupandishwa hadhi na kuwaomba wananchi wampigie kura Rais Magufuli na wagombea wote wa Ccm kwani chama hicho ndicho kinawapenda na kuwajali wananchi.



Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MKOA WA MWANZA MWAKA 2021 December 18, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2018 Shule za Sekondari za Serikali Mkoa wa Mwanza December 13, 2017
  • Ziara ya Mhe. Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya kufanya ufuatiliaji katika shule za Msingi na Sekondari Mkoa wa Mwanza 2018 January 10, 2018
  • Ufunguzi wa Mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA Kitaifa Mkoa wa Mwanza. June 07, 2018
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AGA KHAN Yatoa Vifaa vya Bilioni 1.5 Kuepusha vifo vya mama na mtoto Mwanza

    December 22, 2020
  • Kikao cha bodi ya Barbara chapanga mikakati ya mafanikio Mwanza

    December 21, 2020
  • Mwanza Kwanza Toleo la pili kwa habari mbalimbali Mkoa wa Mwanza

    December 12, 2020
  • Elimu ya maadili yatolewa Mwanza kwa Viongozi

    December 10, 2020
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella akifungua Baraza la biashara katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mkikutano uliopo katika ofisi ya Mkoa uliojumuisha wajumbe mbalimbali wa Baraza hilo wa Mkoa wa Mwanza.
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Regional Drive Mkabala na Ofisi za TRA

    S.L.P: S.L.P. 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras.mwanza@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.