1.1 SEKTA YA BIASHARA.
Mojawapo ya shughuli za kiuchumi zinazowapatia wananchi kipato na mahitaji yao ni kupitia biashara za aina mbalimbali. Baadhi ya biashara hizo ni pamoja na biashara za jumla, rejareja, viwanda, usafiri na usafirishaji, shughuli za utalii na hoteli na nyinginezo.
Jedwali Na. 1: Shughuli za Viwanda na Biashara Mkoani Mwanza
Na.
|
Shughuli
|
2015/16
|
2016/17
|
Ongezeko |
1
|
Wafanyabiashara wenye leseni
|
16,308
|
22,652 |
5,317 |
2
|
Viwanda vikubwa na vya kati
|
81
|
87 |
6 |
3
|
Masoko
|
44
|
44 |
0 |
4
|
Maghala
|
14
|
17 |
3 |
4
|
Elimu ya Biashara na ujasiriamali
|
2,485
|
5,431 |
2,946 |
5
|
Taasisi za fedha
|
27
|
29 |
2 |
Jedwali Na. 2: Mapato ya Ada za Leseni na vyanzo vingine Mkoa wa Mwanza kwa Mwaka 2016/17.
Na |
Halmashauri |
Idadi ya Leseni |
Ada za Leseni |
Ushuru wa Hoteli
|
Ada za Vileo |
1. |
Jiji |
9,203
|
1,600,599,216
|
175,923,226
|
47,832,463
|
2. |
Ilemela |
6,128
|
717,601,557
|
261,477,700
|
45,388,390
|
3. |
Buchosa |
2,715
|
91,859,050
|
22,090,980
|
5,859,300
|
4. |
Ukerewe |
1,179
|
80,888,891
|
0
|
6,767,725
|
5. |
Magu |
708
|
47,818,544
|
24,691,254
|
8,577,000
|
6. |
Kwimba |
1,005
|
72,540,840
|
0
|
3,182,000
|
7. |
Sengerema |
784
|
84,290,000
|
0
|
2,840,000
|
8. |
Misungwi |
933
|
45,013,853
|
7,280,000
|
3,480,000
|
Kimkoa |
22,652
|
2,740,611,951
|
492,463,160
|
492,463,160
|
1.2 SEKTA YA VIWANDA
Kwa mujibu wa sera ya viwanda na biashara ya Mwaka 2003 na mazingira ya Tanzania jedwali lifuatalo linaonesha makundi ya Viwanda ili kubaini viwanda vidogo sana, viwanda vidogo, viwanda vya kati na viwanda vikubwa.
Na
|
Makundi ya Viwanda
|
Idadi ya wafanyakazi |
Mtaji wa uwekezaji (Milioni) |
1
|
Kiwanda kidogo sana
|
1 hadi 4 |
1 hadi 5 |
2
|
Kiwanda kidogo
|
5 hadi 49 |
5 hadi 200 |
3
|
Kiwanda cha kati
|
50 hadi 99 |
200 hadi 800 |
4
|
Kiwanda kikubwa
|
100 na zaidi |
800 na zaidi |
Viwanda vya kati na vikubwa vilivyopo Mkoani Mwanza.
Na. |
Halmashauri |
Idadi ya Viwanda |
1 |
Jiji
|
22 |
2 |
Ilemela
|
30 |
3 |
Magu
|
16 |
4 |
Kwimba
|
6 |
5 |
Sengerema
|
4 |
6 |
Buchosa
|
4 |
7 |
Ukerewe
|
10 |
8 |
Misungwi
|
6 |
= |
Jumla |
92 |
Viwanda vidogo na vidogo sana vilivyopo Mkoani Mwanza.
Na. |
Halmashauri |
Idadi ya Viwanda |
1 |
Jiji na Ilemela
|
378 |
2 |
Magu
|
102 |
3 |
Kwimba
|
16 |
4 |
Sengerema na Buchosa
|
52 |
5 |
Ukerewe
|
27 |
6 |
Misungwi
|
14 |
= |
Jumla |
589 |
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mkoa wa Mwanza, 2 Regional Drive
S.L.P: 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras@mwanza.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.