• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mwanza Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mwanza

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya Mkoa
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti Mkoa
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
      • ununuzi na Ugavi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Sheria
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewe
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Mwanza
    • Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
    • Hamashauri ya Wilaya ya Magu
    • Hamashauri ya Wilaya ya Sengerema
    • Hamashauri ya Wilaya ya Misungwi
    • Hamashauri ya Wilaya ya Kwimba
    • Hamashauri ya Wilaya ya Ukerewe
    • Hamashauri ya Wilaya ya Buchosa
  • Fursa za uwekezaji
    • Miundombinu ya Umwagiliaji na kilimo cha mkataba
    • Kilimo
    • Madini
    • Sekta ya Huduma
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya video

AGA KHAN Yatoa Vifaa vya Bilioni 1.5 Kuepusha vifo vya mama na mtoto Mwanza

Posted on: December 22nd, 2020

Ili Kupunguza vifo vya mama na mtoto vitokanavyo na uzazi huduma za dharura zafanyika ili kununua vifaa mbalimbali vyenye thamani ya Billion 1.5 .

Hayo yamamebainishwa na Meneja Mradi wa Impact mkoa wa Mwanza Edna Selestine alisema vifaa hivyo vimetolewa na Aga khan Development Network kwa ufadhili wa serikali ya watu wa Canada (Global Affairs Canada) kupitia mradi wa Improving Access to Reproductive Maternal and Newborn Health (IMPACT)Mwanza .

 Alisema wametoa vifaa hivyo  lengo likiwa ni kushirikiana na serikali katika kupunguza vifo vya wanawake vitokanavyo na uzazi pamoja na vifo vya watoto wachanga pia mradi huo unafanyakazi katika vituo vya kutolea huduma za afya 80  ndani ya Halmashauri zote nane za mkoani humo.

" Mradi wa IMPACT umeendelea kushirikiana na Wizara ya afya ,ofisi ya Mganga mkuu Mkoa katika kuboresha huduma za dharura,afya ya uzazi,mama na mtoto ili kufikia lengo hilo mradi wa IMPACT kwa ufadhili wa Global Affair Canada umejenga majengo 27 ya kutolea huduma za mama na mtoto ikiwa ni pamoja na majengo nane yenye kufanyia upasuaji pia umewezesha upatikanaji wa vifaa tiba pamoja na thamani katika majengo hayo ili kuwezesha utoaji wa huduma zote za msingi kwa mama na mtoto" alisema Selestine.

Naye Mtendaji Mkuu Mkoa wa Mkoa wa Mwanza wa taasisi ya maendeleo ya Aga Khan Health Service ,East Africa, Sulaiman Shahabuddin alisema wamekabidhi vifaa tiba mbalimbali vikiwemo  mashine nane za kutolea dawa za usingizi zenye thamani ya Million 408,618,400  kwa ajili ya kutolea huduma za upasuaji katika hospital za Wilaya za Nyamagana, Misungwi,Nansio ,Ngudu,Magu, na katika vituo vya afya Buzuruga,Kakobe na Sengerema .

Aliongeza kuwa wataendelea kushirikiana na mkoa wa Mwanza kila panapowezekana ili kuboresha huduma za afya ya uzazi ,mama na mtoto  pia natoa shukurani kwa wafadhili Global Affair Canada kwa kuendelea kutuunga mkona katika jitihada hizi .

" Pia tunaimpongeza  serikali kwa jitihada zote zilizofanyika katika kupunguza vifo vya wanawake vitokanavyo na uzazi na watoto wachangia" anaeleza Shahabuddin

Kwa upande wake Katibu Tawala mkoa wa Mwanza Emmanuel Tutuba alitoa shukrani kwa wadau wote waliguswa na kutoa misaada  na kuunga mkono juhudi za serikali hiyo imani yao vitadunu kwa muda mrefu , aliahidi vifaa hivyo watavielekeza mahali palipokusudiwa kwani vifaa hivyo vitasaidia Jamii mzima na siyo mama na mtoto pekee .

Alisema wazo la kuwekeza Mwanza ni sahihi kwani kuna idadi kubwa ya watu kutoka mikoa nane jilani na nchi kama sita zinazoizunguka ambapo watu wake wa apata huduma mkoani humo hivyo lengo lao la kuhitaji kuboresha na kuifanya hospital hiyo kuwa ya Mkoa ni njema na lenye kuleta tija na maendeleo ya Mkoa na nchi nzima.

Naye Mganga Mkuu Mkoa wa Mwanza Thomas Rutachunzibwa alisema wameshirikiana na IMPACT  takribani miaka mitano ili kutekeleza mradi wa afya ya kumsaidia mama na mtoto ikiwa ni moja ya mikakati ya Mkoa kupunguza vifo hivyo pia wamekuwa na maboresho makubwa ndani ya Mkoa na wamewashirikisha wadau wote ili kuboresha huduma ya afya ya uzazi .

Aliongeza kuwa serikali imefanya maboresho makubwa kwa takribani hospital 17 zimefikiwa pia wanaendelea kuboresha zahanati na ujenzi wa hospital za Wilaya pia kupitia mradi huo umewasaidia vituo vya kutolea huduma za afya 80 sambamba na kufanya uwekezaji wa miundombinu upande wa majengo.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MKOA WA MWANZA MWAKA 2021 December 18, 2020
  • Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Kwanza 2018 Shule za Sekondari za Serikali Mkoa wa Mwanza December 13, 2017
  • Ziara ya Mhe. Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya kufanya ufuatiliaji katika shule za Msingi na Sekondari Mkoa wa Mwanza 2018 January 10, 2018
  • Ufunguzi wa Mashindano ya UMISSETA na UMITASHUMTA Kitaifa Mkoa wa Mwanza. June 07, 2018
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • AGA KHAN Yatoa Vifaa vya Bilioni 1.5 Kuepusha vifo vya mama na mtoto Mwanza

    December 22, 2020
  • Kikao cha bodi ya Barbara chapanga mikakati ya mafanikio Mwanza

    December 21, 2020
  • Mwanza Kwanza Toleo la pili kwa habari mbalimbali Mkoa wa Mwanza

    December 12, 2020
  • Elimu ya maadili yatolewa Mwanza kwa Viongozi

    December 10, 2020
  • Angalia zote

Video zinazotembea

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.John Mongella akifungua Baraza la biashara katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa mkikutano uliopo katika ofisi ya Mkoa uliojumuisha wajumbe mbalimbali wa Baraza hilo wa Mkoa wa Mwanza.
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • FFARS User Guidelines
  • Miongozo ya mfumo wa bajeti na Mipango
  • Makusanyo ya Ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Mwanza
  • PReM
  • Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
  • Opras fomu
  • OFISI MTANDAO

Viunganishi Linganishi

  • Tovuti ya Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

Watembeleaji

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Regional Drive Mkabala na Ofisi za TRA

    S.L.P: S.L.P. 119, Mwanza.

    Simu: 028-2501037

    Simu ya Mkononi: 028-2501037

    Barua Pepe: ras.mwanza@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.